Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,144
- 166,079
Nimeota ndoto, malaika ananiambia kuwa nitakufa April 2014. Ndoto hii maana yake nini???
Usiku uliopita sikulala kabisa, nilimwa sana na tumbo, sijawahi kuumwa kiasi tangu nizaliwe, wala mi sio mtu wa kuumwa umwa, ukiona naumwa jua ni hangover..
Lakini nina zaidi ya wiki sasa sijanywa...
ndoto ya pepo magirini towekaaaaaa, ushindwe kabisa. Mimi sitokufa, bali nitaishiBujibuji, ahadi ya Mungu kwetu ni kuishi. Ikemee ndoto hiyo Kuwa kukiri ahadi ya Mungu Kuwa tutaishi miaka zaidi ya 120 na pia Kuwa hutakufa Bali tutaishi. Kumbuka Kuwa Sometimes the devil is a lier. Sio kila ndoto yatokakwa Bwana na pia sometimes shetani Hujifanya malaika ili akupate .
Amen ........ndoto ya pepo magirini towekaaaaaa, ushindwe kabisa. Mimi sitokufa, bali nitaishi
haha hah hahhhhhUnaweza usifike hata hiyo April 2014.
tuachie usia kabisaNimeota ndoto, malaika ananiambia kuwa nitakufa April 2014. Ndoto hii maana yake nini???
Usiku uliopita sikulala kabisa, nilimwa sana na tumbo, sijawahi kuumwa kiasi tangu nizaliwe, wala mi sio mtu wa kuumwa umwa, ukiona naumwa jua ni hangover..
Lakini nina zaidi ya wiki sasa sijanywa...
Nimeota ndoto, malaika ananiambia kuwa nitakufa April 2014. Ndoto hii maana yake nini???
Usiku uliopita sikulala kabisa, nilimwa sana na tumbo, sijawahi kuumwa kiasi tangu nizaliwe, wala mi sio mtu wa kuumwa umwa, ukiona naumwa jua ni hangover..
Lakini nina zaidi ya wiki sasa sijanywa...
Bujibuji, ahadi ya Mungu kwetu ni kuishi. Ikemee ndoto hiyo Kuwa kukiri ahadi ya Mungu Kuwa tutaishi miaka zaidi ya 120 na pia Kuwa hutakufa Bali tutaishi. Kumbuka Kuwa Sometimes the devil is a lier. Sio kila ndoto yatokakwa Bwana na pia sometimes shetani Hujifanya malaika ili akupate .