mzee alpha
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 711
- 264
Msaada tafadhari kwa anaefaham maada inajieleza
Marine engineering ni subset ya mechanical engineering kama ilivyo automotive au agri engineering!!Msaada tafadhari kwa anaefaham maada inajieleza
Big fact bro bt najarb kuangalia wapi pananifaa zaid japokuwa mm now nataman marine engineering lakn napenda marine transport (captain) lakn afya kidogo inaniangusha na pia vipi nikitaka ku settle, ndomaana nimeweka huu uzi ili hata kama kunawengine wenye confusions kama yangu, great thinkers muwasaidieMarine engineering ni subset ya mechanical engineering kama ilivyo automotive au agri engineering!!
Ni kweli utasoma mitambo ila kwa kiasi kikubwa utasoma au umesoma mitambo ya meli... Unaweza kufanya kazi viwandan ila ujue kwa nchi zetu hizi jua utapata challenge kama wakiwa hawana ufaham juu ya hii kozi!!
Kama unapenda kufanya kazi viwandan kwann usisome mechanical ambayo ina wigo mpana tofauti na marine?? Kwann usingesoma walau industrial engineeiring??
Labda nikuulize, wewe ni boss kwenye kiwanda fulan na umepokea watu wawili wenye marks na uwezo sawa...
Wa kwanza ni mechanical engineer na wa pili ni marine engineer. Je nani ungempa kazi kwenye kiwanda chako??
Mkuu lazima ujue hapa ni tanzania na inabidi tuishi vile nchi ilivyo. Unaweza ukasema usome unachopenda ukajikuta unapata stress baada ya kumaliza masomo!! Angalia wale waliosoma petroleum na gas sasa hivi wakoje?Big fact bro bt najarb kuangalia wapi pananifaa zaid japokuwa mm now nataman marine engineering lakn napenda marine transport (captain) lakn afya kidogo inaniangusha na pia vipi nikitaka ku settle, ndomaana nimeweka huu uzi ili hata kama kunawengine wenye confusions kama yangu, great thinkers muwasaidie
Marine engineering ni subset ya mechanical engineering kama ilivyo automotive au agri engineering!!