Je ni kweli marine engineer anaweza fanya kazi katika power plant, viwandani na kwenye meli pia

Wells

Member
Apr 21, 2017
48
125
Yap, ni kweli anaweza akafanya katika sehemu zote tajwa hapo juu, kwasababu marine engineer huwa anakuwa na uelewa na engine ,boilers, generator.. vitu ambavyo huwezi kuvikosa katika Power Plant pamoja na viwandani
 
Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
15,644
2,000
Msaada tafadhari kwa anaefaham maada inajieleza
Marine engineering ni subset ya mechanical engineering kama ilivyo automotive au agri engineering!!

Ni kweli utasoma mitambo ila kwa kiasi kikubwa utasoma au umesoma mitambo ya meli... Unaweza kufanya kazi viwandan ila ujue kwa nchi zetu hizi jua utapata challenge kama wakiwa hawana ufaham juu ya hii kozi!!

Kama unapenda kufanya kazi viwandan kwann usisome mechanical ambayo ina wigo mpana tofauti na marine?? Kwann usingesoma walau industrial engineeiring??

Labda nikuulize, wewe ni boss kwenye kiwanda fulan na umepokea watu wawili wenye marks na uwezo sawa...

Wa kwanza ni mechanical engineer na wa pili ni marine engineer. Je nani ungempa kazi kwenye kiwanda chako??
 
mzee alpha

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
714
500

Big fact bro bt najarb kuangalia wapi pananifaa zaid japokuwa mm now nataman marine engineering lakn napenda marine transport (captain) lakn afya kidogo inaniangusha na pia vipi nikitaka ku settle, ndomaana nimeweka huu uzi ili hata kama kunawengine wenye confusions kama yangu, great thinkers muwasaidie
 
Mkuu lazima ujue hapa ni tanzania na inabidi tuishi vile nchi ilivyo. Unaweza ukasema usome unachopenda ukajikuta unapata stress baada ya kumaliza masomo!! Angalia wale waliosoma petroleum na gas sasa hivi wakoje?

Mi nakushauri kama unaweza na kama unataka kupiga kazi viwandan au sehem yeyote yenye mitambo basi soma mechanical engineering. Uzuri wa hii kozi inaingia kila sehem kuanzia huko kwenye meli,magari,treni mpaka kwenye ujenzi!!!

Kama utaamua kukomaa na marine its okey go ahead ila huo ndio ushauri wangu!
 
wamidosho

JF-Expert Member
Feb 16, 2015
413
500
Marine engineering ni subset ya mechanical engineering kama ilivyo automotive au agri engineering!!

Ni kweli utasoma mitambo ila kwa kiasi kikubwa utasoma au umesoma mitambo ya meli... Unaweza kufanya kazi viwandan ila ujue kwa nchi zetu hizi jua utapata challenge kama wakiwa hawana ufaham juu ya hii kozi!!

Kama unapenda kufanya kazi viwandan kwann usisome mechanical ambayo ina wigo mpana tofauti na marine?? Kwann usingesoma walau industrial engineeiring??

Labda nikuulize, wewe ni boss kwenye kiwanda fulan na umepokea watu wawili wenye marks na uwezo sawa...

Wa kwanza ni mechanical engineer na wa pili ni marine engineer. Je nani ungempa kazi kwenye kiwanda chako??

Mkuu kwa Agricultural engineer yeye kazi zake huwa kwenye maeneo yapi?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom