Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,768
- 218,389
Lijualikali kashajiharibia kisiasa asubiri 250m zake za kiinua mgongo akaendeshe bodaboda huko kilombero.Kuna taarifa kwamba huyu kijana alianza kubadilika baada ya kuoa " mtoto wa Spika " na chama chake kilishamstukia tangu mapema , akatengwa kiaina .
Je kuna ukweli wa Jambo hili ? mwenye kufahamu aliweke vizuri .
Nakala : Twaha Mwaipaya
Mtu wa Chadema akioa CCM anatengwa?
Hizi ndo siasa? ..
Dunia nzima watu wameoa kutoka upande wa pili wa wa siasa..
Mbona Riziwan alioa mtoto wa mbunge wa CUF?
Na kulikuwa hakuna shida CUF wala CCM?
Chadema na nyie ni wa hovyo sana.yani mtu akioa mtoto wa mwana CCM tayari mnamtenga?Kuna taarifa kwamba huyu kijana alianza kubadilika baada ya kuoa " mtoto wa Spika " na chama chake kilishamstukia tangu mapema , akatengwa kiaina .
Je kuna ukweli wa Jambo hili ? mwenye kufahamu aliweke vizuri .
Nakala : Twaha Mwaipaya
Siasa za maji taka hizi dogo kaona CHADEMA hakuna demokrasia karudi nyumbani
Sent using Jamii Forums mobile app
Je ikiwa kama amebadilika baada ya jambo hilo kwanini asitiliwe shaka ? Jesica Kishoa mumewe ni Kafulila mbona hatujasema neno ?Mtu wa Chadema akioa CCM anatengwa?
Hizi ndo siasa? ..
Dunia nzima watu wameoa kutoka upande wa pili wa wa siasa..
Mbona Riziwan alioa mtoto wa mbunge wa CUF?
Na kulikuwa hakuna shida CUF wala CCM?
Kwahiyo hizo sh bilioni 8 zilitumika kwenye sherehe za harusi?!Kuna taarifa kwamba huyu kijana alianza kubadilika baada ya kuoa " mtoto wa Spika " na chama chake kilishamstukia tangu mapema , akatengwa kiaina .
Je kuna ukweli wa Jambo hili ? mwenye kufahamu aliweke vizuri .
Nakala : Twaha Mwaipaya
Anayumba Mbowe kalamba 8 billion halafu anawatia ujinga wenzake.Dogo anayumba sababu ya njaa!!
Njaa kitu mbaya sana hasa kwa Wabunge wa Kitanzania kuanzia wa Chama Tawala na wapinzani wote!
Vijana wanatafuta frursa sidhani kama hayo mahusiano yatadumuKuna taarifa kwamba huyu kijana alianza kubadilika baada ya kuoa " mtoto wa Spika " na chama chake kilishamstukia tangu mapema , akatengwa kiaina .
Je kuna ukweli wa Jambo hili ? mwenye kufahamu aliweke vizuri .
Nakala : Twaha Mwaipaya
CAG na wewe nani anajua zaidi ?Anayumba Mbowe kalamba 8 billion halafu anawatia ujinga wenzake.