Je, ni kweli kuwa vichaa wana jicho la tatu?

Je, ni kweli kuwa vichaa wana jicho la tatu?

Mkuu niliwahi kusikia kwamba hakuna kifungo kibaya kama kufungwa na mizimu kwamba heri hata wachawi.
Je kuna ukweli hapo? Na kama kweli inakuaje mizimu yako ikufunge?
 
Siku zote nikiona Maada tokea kwa mshana jr, huwa nazisoma kwa umakini sana na hata kuzirudia rudia, maana binafsi napenda kujua mambo mengi mengi humu duniani visivyoonekana na vinavyoonekana, maana nikitafakari ule msemo wa Mungu kaumba vyote vinavyoonekana na visivyoonekana, napatwa na mshawasha wa kutaka kujua visivyoonekana. Ki-ukweli mshana jr, huwa unanifumbua mengi sana, sema tu wachache hawakuelewi. Zaidi nafurahi unapojibu kila unaloulizwa, tena kwa ufasaha kabisa (kwa mtazamo wangu). Natamani sana kukuona, ila nishajiambia ipo tu siku nitakutafuta mshana jr.

Ahsante!
 
Ila nakuomba mshana jr, usikate tamaa, endelea kuitoa elimu ambayo unayo, maana kuna matusi na maneno makali makali tu naamini unashushiwa pindi tu ukitoa maada zako, ila usijali aisee, endelea kutupa elimu hiyo tusiyoijua wengine, usichoke aisee. Mungu azidi kukupa nguvu ya kuitoa elimu hiyo pamoja na changamoto nyingi unazozipata. Barikiwa sana.

Ahsante!
 
Mkuu niliwahi kusikia kwamba hakuna kifungo kibaya kama kufungwa na mizimu kwamba heri hata wachawi.
Je kuna ukweli hapo? Na kama kweli inakuaje mizimu yako ikufunge?

Ni kwakuwa mizimu ina mahusiano na wewe ya kijenetiki
 
Ila nakuomba mshana jr, usikate tamaa, endelea kuitoa elimu ambayo unayo, maana kuna matusi na maneno makali makali tu naamini unashushiwa pindi tu ukitoa maada zako, ila usijali aisee, endelea kutupa elimu hiyo tusiyoijua wengine, usichoke aisee. Mungu azidi kukupa nguvu ya kuitoa elimu hiyo pamoja na changamoto nyingi unazozipata. Barikiwa sana.

Ahsante!

Wala usijali kwakuwa kila ninapojiandaa kuleta post za namna hii huwa nakuwa tayari nimeshajiweka sawa na watu wa namna hiyo kwakuwa haya ninayoandika hayajazoeleka miongoni mwa wengi
 
Wacha porojo, jicho la tatu haimaanishi "kuona yasiyoonekana katika macho ya kawaida na kusikia pia ikiwemo na ufahamu wa yajayo".

Nnakushauri kwanza kasome kuhusu nadharia ya jicho la tatu au uliza ni nini hicho kabla hujaja kuwajaza watu ujinga ulio nao.

Soma kuhusu "ajna" na "chakra'.

Ukichaa husababishwa na mengi na uko wa aina nyingi.

Science has not yet taught us if madness is or is not the sublimity of the intelligence - Edgar Alan Poe
 
Hehehe mkuu I don't see a point in arguing with voodoo, simply because it doesn't exist and you have never experienced it nor can you prove it.
Am curious to know what you know about my username though!!

Sometimes silence is the best answer. .....!!!
 
Mkuu hebu badilisha title na hapo kwenye jicho la tatu labda uweke fahamu ya tatu.

Halafu nakushauri mada hii uiondoe kwenye mrengo wa kichawichawi ili wadau wanaofahamu juu ya kile tunachokiita ukichaa ni nini hasa.

Soma kuhusu...

Visual hallucinations-nadhani mada yako ndio itaangukia hapo.

Auditory hallucinations-labda hii utaiita sikio la tatu.

Paranoid delusions-hapa waweza pata juu ya wivu na visa dhidi ya watu flani kutoka kwa vichaa.

Persecutory delusions-hapa utaelewa kwa nino vicha hujilinda masaa yote.

Erotomanic delusion-hapa ukienda jukwaa la mmu unaweza kukutana nao

Grandiose delusions- hii unaweza ukaifananisha na yale matambo ya kihaya.

Kwa ufupi nakubaliana na Amavubi kwamba wote tuna haiba za ukichaa walichotuzidi vichaa ni overexpression ya hiyo haiba.

mshanajr
 
Last edited by a moderator:
Wacha porojo, jicho la tatu haimaanishi "kuona yasiyoonekana katika macho ya kawaida na kusikia pia ikiwemo na ufahamu wa yajayo".

Nnakushauri kwanza kasome kuhusu nadharia ya jicho la tatu au uliza ni nini hicho kabla hujaja kuwajaza watu ujinga ulio nao.

Soma kuhusu "ajna" na "chakra'.

Ukichaa husababishwa na mengi na uko wa aina nyingi.

Science has not yet taught us if madness is or is not the sublimity of the intelligence - Edgar Alan Poe

Hahhahahaaaa kama ungelijua hilo si ungeleta post tangu mwanzo, replies za namna hii kwangu ni burudani mwanzo mwisho na sibabaiki nazo
Kwa ufupi wewe ni BONGE LA MPUUZI na utakuwa hivyo mpaka mwisho wa uhai wako! Kumbuka hili neno kuwa wewe ni BONGE LA MPUUZI kila siku ukipiga mswaki asubuhi kuanzia leo mpaka siku unakufa, usisahau hili kuwa mshana jr kakuita BONGE LA MPUUZI kila uamkapo na upigapo mswaki
 
Last edited by a moderator:
Maruhani ni roho ambazo kwa sehemu kubwa zinaishi nchi kavu, majini kwa sehemu kubwa wanaishi baharini na mizimu ni roho za wafu
Hapo kwenye mizimu umekosea kidogo Mkuu, mtu akishakufa roho yake inakaa sehemu husika kusubiri hukumu. Ukiona nafsi ya mtu ambae inatangatanga na kuwatokea watu ndo tunaita MZUKA. Ila mizimu ni tofauti kabisa na roho za watu. Kwa kifupi nijibu tu kwamba Mizimu ni majini ila inatenda kazi tofauti kabisa na majini mengine ktk ufalme wa shetani.
 
Hiyo dawa mpk sasa na sio usiku tu hta mchana na tena mchana ndo wa kumwaga na asilimia kubwa ya unaowaona kariakoo wanatembea kikawaida ni majini na waliobaki ni binadamu ambao ukipakwa hyo dawa au ukiwa na uwezo ama kuna kioo fulani ukiwamulika unaona wapo ktk mavazi tofauti na pia kuna maduka mengne kkoo wanauza majini na wanamiliki majini kbsa
Yaan huyu kiumbe JINI ni kiumbe kishezi sana anatumia udhaifu wa binadamu kumtesa uwe mshilika wake atkutesa na usiwe nshilika wake atakutesa pia yaan hakuna unafuu ikiwa bdo ujamjua yeye ninani hasa na anafanya nini kwa ajili ya nini na kwa faida gani ili iweje

Hahahaaa mkuu usikute ata humu watoa uzi na wachangiaji baadhi ni ivyo viumbe
 
Huku kitaani tulikuwa na jamaa mmoja, alikuwa na uwezo wa kuona watu wa baya. Kuna siku wakati tumekaa maskani akawa anapita binti mmoja, akatuambia huyo dada anayekuja hajavaa nguo yoyote mwilini, kuna mmoja wetu akabisha. Alipomwita yule dada, yule dada aliona aibu kupita kiasi. Na alikuwa anatuambia kwa mfano pale posta mpya kuna mauzauza mengi sana. Na nimakazi ya roho chafu nyingi sana.

Kwa macho yako ya kawaida ulimuona uyo mdada kavaaje?
 
Kila mtu ni kichaa ila ukichaa unatofaitiana na ndio maana wengi tunafanya mambo. Bila kujitambua baadae tunajuta
 
Huku kitaani tulikuwa na jamaa mmoja, alikuwa na uwezo wa kuona watu wa baya. Kuna siku wakati tumekaa maskani akawa anapita binti mmoja, akatuambia huyo dada anayekuja hajavaa nguo yoyote mwilini, kuna mmoja wetu akabisha. Alipomwita yule dada, yule dada aliona aibu kupita kiasi. Na alikuwa anatuambia kwa mfano pale posta mpya kuna mauzauza mengi sana. Na nimakazi ya roho chafu nyingi sana.

Kwa macho yako ya kawaida ulimuona uyo mdada kavaaje?

Alikuwa amevaa kawaida tena kiheshima, kitendo cha yule Dada kuitwa na kujisikia aibu kubwa kupita kiasi ilitupa maswali mengi.
Na nakumbuka alimwambia ikitokea siku nyingine umerudia tena nitakuaibisha.
 
As long as hao fisi napishana nao hawanifanyi chochote baasi mi sina shida.
 
Muda mwingi huwa naona ni uongo mambo yako.......huwa nafatilia sana .
 
Hahhahahaaaa kama ungelijua hilo si ungeleta post tangu mwanzo, replies za namna hii kwangu ni burudani mwanzo mwisho na sibabaiki nazo
Kwa ufupi wewe ni BONGE LA MPUUZI na utakuwa hivyo mpaka mwisho wa uhai wako! Kumbuka hili neno kuwa wewe ni BONGE LA MPUUZI kila siku ukipiga mswaki asubuhi kuanzia leo mpaka siku unakufa, usisahau hili kuwa mshana jr kakuita BONGE LA MPUUZI kila uamkapo na upigapo mswaki

Umepatia kweli kuniita hivyo kwa kuwa ni bonge la mpuuzi mimi nnakupuuza hayo maneno yako ya kishoga shoga.

Ntaendelea kukupa darsa la nyama ikoje kila unapoleta utumbo - kumbuka hilo.
 
Eheeeeeee,haya sasa mumeanza kutukanana tena wenyewe kwa wenyewe..........haya twende
 
Hapo kwenye mizimu umekosea kidogo Mkuu, mtu akishakufa roho yake inakaa sehemu husika kusubiri hukumu. Ukiona nafsi ya mtu ambae inatangatanga na kuwatokea watu ndo tunaita MZUKA. Ila mizimu ni tofauti kabisa na roho za watu. Kwa kifupi nijibu tu kwamba Mizimu ni majini ila inatenda kazi tofauti kabisa na majini mengine ktk ufalme wa shetani.

Kwa ufupi tu ni kwamba mizimu sio majini
 
Back
Top Bottom