Je ni kweli kuna dawa ya kuzuia VVU visikuathiri ndani ya masaa 72 ya maambukizi?

Amin amin nawaambien mtu mweupe anatuhadaa sana,,, dawa ya ukimwi ipo hapo ndipo ninapoamin kuwa hawa watu weupe ni nyoka mana mipango yao mingi imejificha kwenye long term planning.. hapa wanakipindi chao ambacho ni officialy kabisa naamin muda huo tutangaziwa kuwa UKIMWI SASA UMEFIKA MWISHO.

Hwatauacha ulimwengu hivhiv naamin watakuwa na jingine tu,, mara baada ya ukimwi kufika mwisho.
Ebola ilipoanza kuwatoa makamasi fasta wakatoa dawa maramoja walizoficha kwenye maabara zao...

hawa majamaa wamemfanya mwafrika analala kama mfungwa na gereza, kitanda na net..
wanabadilisha dozi ya malaria kila leo......... ......
sasa mkuu ajabu ni kuwa tunasomesha wataalamu wetu nje hukohuko kwao kwanini wakirudi wasiweze kugundua hiyo dawa? kwanini wazungu tu?
 
sasa mkuu ajabu ni kuwa tunasomesha wataalamu wetu nje hukohuko kwao kwanini wakirudi wasiweze kugundua hiyo dawa? kwanini wazungu tu?

Pana siri nzito mkuu juu ya hili, wapo madaktar bingwa kabisa kutoka bara asia hawa walipokuwa wanakaribia kuipata tiba waliuwawa ktk mazingira ya kutatanisha..
Niliposema mtu mweupe nyoka nilkuwa namaanisha kweli,, idadi ya wataalam kama 7 hivi (sina takwimu kamili) walioamua kuukali kitako UKIMWI walikuwa karibu kabisa kugundua tiba ya jinamizi hili la mzungu... hawa watu wa bara asia walikuwa mabingwa kwelikweli na utakumbuka project za kutafuta tiba kuwa huwa ngumu ... huwa zinakonshum muda, fedha nyingi n.k

hawa walipokuwa kwenye hatua zao za kimaabara za kuhama maabara moja had nyingine (nch had nchi) ndipo walipofanyiwa unyama wa kupotezwa kabisa... yani waliwaponza mpaka na abiria wengine wasiokuwa na hatia (vifo vya abiria wengi kinaficha uasilia wa target ya kilichokuwa kinatafutwa nyuma ya pazia)

REJEA VITA BARIDI KATI YA USA NA RUSSIA
URUSI CHINI YA KGB ILIUWA MASAYANTIST WENGI WA USA PALE HAVARD TENA WALE MAGINIAZI.. WALIKUFA KIJASUSI KABISA.

unakuta wataalam ni 7 ndani ya ndege moja kati ya abiria 250 hivi..
Ukimwi umezinduliwa kwa kiasi Cha dola zipatazo mil 500 hivi huko USA na akina Dr.Robert Gallo na sasa wanahaha kuzimisha moto waliouwasha wao wenyewe kwa harambee kubwa...

Afrika demokrasia imewashinda sembuse Ukimwi... Ukimwi moto mwingine mkuu.
 
Inaitwa pep ila upewi mpaka serikali iamue au ume umebakwa so utapewa pf3 ndo utapewa hiyo dozi bongo bahati mbaya
 
Inaitwa pep ila upewi mpaka serikali iamue au ume umebakwa so utapewa pf3 ndo utapewa hiyo dozi bongo bahati mbaya
kisa cha kuizuiazuia ni kipi au ni ghali sana? kama inawekwa tu hatimaye inakuwa expired?
 
Tucbishane sana we c una smart google REVIVO CAPSULES Alaf soma maelezo yake den unipe jibu
OOOOooh Neema j swai basi mama nimekuacha hakuna dawa inayoitwa PEP by the way hiyo ni terminology tu ya medical tafsiri yake ni dawa anayopewa mgonjwa baada ya kuwa exposed katika ugonjwa fulani ili kuzianusimdhuru ila unachokiongea wewe mama mmmmh
 
Msaada wako tafadhali
 
Back
Top Bottom