Ndo yenyewe.Post Exposure Prophylaxis (PEP), si ndio eee!
Utakua ushatumia PEP weye joohPost Exposure Prophylaxis (PEP), si ndio eee!
Mimi nimeshamaliza dozi,ila naogopa sana kwenda kupima,kwasababu wakati mwingine ilikuwa inatokea dharura navuka mpaka saa nzima badala ya kumeza saa 6 kamili najikuta nimemeza saa 7 ilinitokea mara mbili hivi,nakumbuka nilisisitizwa sana nimeze dawa muda uleule kila siku.okay iko hivi PEP zinakuwa effective within 72hours baada ya kuwa umekuwa exposed na virusi
ni kweli unapewa dozi ya PEP ya siku 28....kunywa usiku unapolala
Kwani ipo kataza nyie mutu nyeusi kupata dawaAmin amin nawaambien mtu mweupe anatuhadaa sana,,, dawa ya ukimwi ipo hapo ndipo ninapoamin kuwa hawa watu weupe ni nyoka mana mipango yao mingi imejificha kwenye long term planning.. hapa wanakipindi chao ambacho ni officialy kabisa naamin muda huo tutangaziwa kuwa UKIMWI SASA UMEFIKA MWISHO.
Hwatauacha ulimwengu hivhiv naamin watakuwa na jingine tu,, mara baada ya ukimwi kufika mwisho.
Ebola ilipoanza kuwatoa makamasi fasta wakatoa dawa maramoja walizoficha kwenye maabara zao...
hawa majamaa wamemfanya mwafrika analala kama mfungwa na gereza, kitanda na net..
wanabadilisha dozi ya malaria kila leo......... ......
Hakuna dawa ya ukimwi ndugu, wataalam wako mbioni kutafuta chanjo ya ukimwi, dawa wanazopewa wale waliopata ajali mfano kujichuma na sindano wakiwa kazini ni dawa hizohizo wanazopewa wagonjwa waliokwisha athirika, hakuna dawa special ila hizi dawa kwa ma group, first line na second line, kama first line ikishindwa kumsadia muathirika anabadilishiwa na kupewa second line na hii utokea pale viral load inapokuwa kubwa au mgonjwa kutengeneza resistance kwa kutokula dawa kwakufuata taratibu na masharti. Tutafute taarifa tusipotoshe...Amin amin nawaambien mtu mweupe anatuhadaa sana,,, dawa ya ukimwi ipo hapo ndipo ninapoamin kuwa hawa watu weupe ni nyoka mana mipango yao mingi imejificha kwenye long term planning.. hapa wanakipindi chao ambacho ni officialy kabisa naamin muda huo tutangaziwa kuwa UKIMWI SASA UMEFIKA MWISHO.
Hwatauacha ulimwengu hivhiv naamin watakuwa na jingine tu,, mara baada ya ukimwi kufika mwisho.
Ebola ilipoanza kuwatoa makamasi fasta wakatoa dawa maramoja walizoficha kwenye maabara zao...
hawa majamaa wamemfanya mwafrika analala kama mfungwa na gereza, kitanda na net..
wanabadilisha dozi ya malaria kila leo......... ......
Mimi nimeshamaliza dozi,ila naogopa sana kwenda kupima,kwasababu wakati mwingine ilikuwa inatokea dharura navuka mpaka saa nzima badala ya kumeza saa 6 kamili najikuta nimemeza saa 7 ilinitokea mara mbili hivi,nakumbuka nilisisitizwa sana nimeze dawa muda uleule kila siku.
Mkuu we neenda ukapime zile dawa zina nguvu za ajaabu. Si unakumbuka siku ya kwanza kumeza ilikuaje!!! Kama ni hizo siku 2 tu. Mambo ni fresh. Hapo nadhani umeshanielewa vizuri.Mimi nimeshamaliza dozi,ila naogopa sana kwenda kupima,kwasababu wakati mwingine ilikuwa inatokea dharura navuka mpaka saa nzima badala ya kumeza saa 6 kamili najikuta nimemeza saa 7 ilinitokea mara mbili hivi,nakumbuka nilisisitizwa sana nimeze dawa muda uleule kila siku.
Sio siku ya kwanza tu mkuu mpaka leo hii zinanitesa ila nilishamaliza dozi wiki mbili zimepita, siku 30 zilikuwa nyingi usipime nilikuwa nahisi zitaniua lakini nashukuru Mungu nimemaliza, najiuliza je hawa wenzetu wanaokunywa mfululizo miaka zaidi ya kumi inakuwaje?Mkuu we neenda ukapime zile dawa zina nguvu za ajaabu. Si unakumbuka siku ya kwanza kumeza ilikuaje!!! Kama ni hizo siku 2 tu. Mambo ni fresh. Hapo nadhani umeshanielewa vizuri.
Mi nadhani nitofauto na hizi. Sababu ukimeza tu. Huwezi fanya chochote. Alafu zinakata hamu ya kula.Sio siku ya kwanza tu mkuu mpaka leo hii zinanitesa ila nilishamaliza dozi wiki mbili zimepita, siku 30 zilikuwa nyingi usipime nilikuwa nahisi zitaniua lakini nashukuru Mungu nimemaliza, najiuliza je hawa wenzetu wanaokunywa mfululizo miaka zaidi ya kumi inakuwaje?
Ila usiwe na mawazo mkuu.Kabisaa, nimepungua mwili wacha kabisa
Na sio kila mtu inamsaidia, hii utegemea immunity zako za mwili,Nimeamini dawa ya Ukimwi ipo ila wanapeana watu special tu