Je, ni kweli kila mwanamke huja na nyota yake ambayo humfanya mwanaume afanikiwe au amefeli katika maisha?

binafsi sikupingi kuna toto moja kila likinitafuta basi nakuwa sina mkwanja hadi naonekana mzinguaji.

ila kuna dem mmoja niliwahi kuwa nae daa yaani haipiti siku tatu unaitwa tu kwenye mishe fulani na mkwanja wa maana unapata, ubaya nilimpoteza kijinga sana na now ni single maza ila alikuwa na nyota ya kuleta mambo mazuri tu kwangu.
I second you kabisa yaani.......
 
Wew pga kazi tuu mkuu ndio utafanikiw wanawake upande wa nyota huo hamna
Pengne useme wanao felisi na wasio felisi
 
Muda mwingine mikosi au bahati ni matokeo ya mfumo wa maisha na unayekutana nae....

Unakuta kuna wanawake unapokuwa na yeye mipango yake na mawazo yake hayatazamii ustawi wenu bali issue zake binafsi. Ukiona hivyo basi jua wazi kufanya maendeleo itakuwa ni tatizo kabisa...
 
Hyo staili ilishawahi kunitokea sana mkuu kwa mademu kama 3 tofauti tofauti.
Unakuta napata demu ambaye nimemkubali sana na ana sifa zote za kuwa wife material ila nikianza kujipanga tu nikakitambulishe kwao aisee uchumi unayumba nakosa hata buku tu ya nauli ya kwenda kwao hadi mwisho wa siku penzi linavurugika automatically.
Sasa jiulize mtu hata buku ya nauli sipati nitalipaje mahari.
Nakuelewa vizuri sana aisee
 
Inatokana na maisha mnayoyaishi. Kama mwanamke hakupi sapoti ya hali wala mali ndugu yangu utaendelea kuwa masikini tu hata ubadilishe mke mara mia!

Lugha ya mkeo kwako na kwa wadau wako, mawazo yake juu ya changamoto za utafutaji wako, response yake katika kuhangaika kwako na ulinzi dhidi ya kipato chako ndio mambo yatakayopelekea kuona mwanamke fulani anakufaa zaidi katika kufanikiwA maswala yako ya Kiuchumi na wala si vinginevyo.

Halafu labda tuseme BARAKA ila hili neno NYOTA ni upuuzi tu

Rejea wimbo wa "Bahati Bukuku- amewazidi wote"
 
binafsi sikupingi kuna toto moja kila likinitafuta basi nakuwa sina mkwanja hadi naonekana mzinguaji.

ila kuna dem mmoja niliwahi kuwa nae daa yaani haipiti siku tatu unaitwa tu kwenye mishe fulani na mkwanja wa maana unapata, ubaya nilimpoteza kijinga sana na now ni single maza ila alikuwa na nyota ya kuleta mambo mazuri tu kwangu.

Sasa huyo singo maza ndo umsaidie kulea utazikamata kwa bidii...we vipi si ndio ushukuru yuko singo
 
Hamna cha nyota wala nini. We bana kama uko kwenye channel ya hela utafanikiwa tu, na kama haupo ndio ivyo tena haijalishi unatembea na nani. Kwanza kwa jinsi siku izi tunavyotembea na wanawake wengi si kila siku ingekua leo mkosi kesho bahati keshokutwa mkosi.

Ndo maana inashauriwa ukitembea na dem jipe mda kidogo kujitathmini....kama nit sure jaribu tena hapo hapo sikilizia kabla ya kuhama kituo
 
Back
Top Bottom