ki2c
JF-Expert Member
- Jan 17, 2016
- 8,682
- 16,249
Umenikumbusha kipindi cha uchaguzi na majibu ya baadhi ya watu eti'mimi siwezi kwenda kupiga kura,yeyote atakayeshinfa ashinde,kikubwa mimi napiga kazi zangu'.Mkuu mimi nahitaji umeme upatikane, hata ukizalishwa na shetani,
Kwa kutumia generator, gharama zinakuwa juu sana ktk kazi zangu,


