imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,236
- 98,405
Kwanza wewe ndio unastahili kulala na Koroboi maana ulifaidi sana enzi za Mwendazake.IPTL wamewasha mitambo yao lakini mbona mgao wa umeme uko palepale?
Hapa ninapoandika hakuna umeme Kariakoo wakati kariakoo ndiyo ikulu ya uchumi wa Tanzania