Je, ni kweli IPTL imewasha mitambo yake?

Je, ni kweli IPTL imewasha mitambo yake?

Umesahau kumtaja Lissu na CHADEMA?!
IPTL wamewasha mitambo yao lakini mbona mgao wa umeme uko palepale?

Hapa ninapoandika hakuna umeme Kariakoo wakati kariakoo ndiyo ikulu ya uchumi wa Tanzania
 
Mataga fanyeni jambo, kuna watu wengi watakuwa nyuma yenu kipindi hiki
Bila wananchi kuamua kuachana na CCM kama tulivyopambana na mkoloni itatugharimu sana.

Wenyewe huko wameshindwana na kuacha wenye nguvu watupelekeshe!! Uchaguzi ujao kauli mbiu iwe "CCM inatosha" ...
 
Lakini wadau tuwe wakweli, si mlishangilia sana na kuchinja mbuzi, ng'ombe nk ili kushereheka kuondoka kwa mwamba mkisema aliwabana sana sasa mnaenda kufaidi mema ya nchi?.

Narudia, tulieni hivyo hivyo sindano iwaingie mtajua nurse anafaa au hafai!.
 
Cha muhimu tupate umeme wa uhakika na kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake
 
Tumbili amepauka, anaimba mapambio kama kasuku,
Tumbili wa wakati wa AG Werema sio huyu, vyeo vya kiserikali we visikie tu,

Mtu una vitz mbovu, ghafla unajikuta unafunguliwa mlango wa V8, unapigiwa saluti, ulinzi wa kutosha, posho mlima, pia vibahasha havikauki ofsini kwako,
Kula 5
 
Harbinder Seth Like this post☺️

IMG_20221204_154219.jpg
 
IPTL wamewasha mitambo yao lakini mbona mgao wa umeme uko palepale?

Hapa ninapoandika hakuna umeme Kariakoo wakati kariakoo ndiyo ikulu ya uchumi wa Tanzania
Inatafutwa sababu ya kuagiza mingine ya kukodi itakayotumia mafuta ya dizeli, wanataka wapige pesa hasa
 
Hata hakuwa mwamba
Lakini wadau tuwe wakweli, si mlishangilia sana na kuchinja mbuzi, ng'ombe nk ili kushereheka kuondoka kwa mwamba mkisema aliwabana sana sasa mnaenda kufaidi mema ya nchi?.

Narudia, tulieni hivyo hivyo sindano iwaingie mtajua nurse anafaa au hafai!.
 
Alijitoa sadaka kizembe sana mana hakuna mkakati wowote aliuwacha angeangazia mambo matatu muhimu KATIBA,UHURU WA VYOMBO VYA HABARI NA TUME HURU YA UCHAGUZI alafu aondoke uone kama tungewashidwa hawa wezi..
Hivyo viwil si vip Mbona amna cha maana
 
Back
Top Bottom