Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,489
- 34,793
Mkuu we ni mfanya biasharamkuu zote ulizotaja ni uzinzi, maana haina kibali toka kwa Mungu. so hata uwe naye mmoja ile bado ni dhambi
Mkuu we ni mfanya biasharamkuu zote ulizotaja ni uzinzi, maana haina kibali toka kwa Mungu. so hata uwe naye mmoja ile bado ni dhambi
Naona unatafuta excuse ya kujiingiza kwenye ushirikinaWatu wengi ambao ni wafanyabiashara/wajasiriamali wamekua wakiusishwa/wakiamini kuwa ili kufanikiwa katika biashara itabidi ufanye ndumba kidogo ili mambo yaende sawa.
Leo naomba tupeane uzi juu ya ili kwamba ni je kuna ukweli wowote kwamba ili mtu afanikiwe yampasa kufanya ndumba au la...... Uwanja upo wazi tuwe wakweli ili tujue na wengine kama ndumba zinafaida tufanye...... MAWAZO YENU WAKUU.
Swali"Je Ndumba au Ushirikina ni nini?" Ukiwa unafahamu maana yake weka hapa then utaelewa kwamba hata huu uzi wako nao ni ushirikinaWatu wengi ambao ni wafanyabiashara/wajasiriamali wamekua wakiusishwa/wakiamini kuwa ili kufanikiwa katika biashara itabidi ufanye ndumba kidogo ili mambo yaende sawa.
Leo naomba tupeane uzi juu ya ili kwamba ni je kuna ukweli wowote kwamba ili mtu afanikiwe yampasa kufanya ndumba au la...... Uwanja upo wazi tuwe wakweli ili tujue na wengine kama ndumba zinafaida tufanye...... MAWAZO YENU WAKUU.
Tofauti na kwenye biashara pia hata kwenye kazi za maofisini lazima uwe na upande, umenikumbusha kitu kikubwa sana kaka ndipo nilijua na kuelewa kuwa maisha ni fumbo kubwa sana.ili uendelee kibiashara inabidi uchague upande wako kabla haujaanza.....kama ni kumtegemea Mungu basi kuwa na Mungu muda wote usichanganye mambo hasa uzinzi....na kama unafanya shirki basi egemea upande huo.....
wengi ambao hawafanikiwi katika biashara licha ya kumtegemea Mungu ni kutojua sheria za kufanikiwa kibiashara ukiwa upande wa Mungu, mambo kama kutoa zaka, sadaka ya shukrani, kuacha uzinzi....
ila uzinzi unaharibu sana biashara sana.....unaweza kuwa hausali wala nini ila uzinzi upo nao mbali utafanikiwa hata bila kuwa na imani kuuuubwa
kamati ya ufundi..kwa babu tanga, swax na kg townKwa upande wangu biashara kadhaa nimefanya ila kuuza mitumba aise inahitaji uwe mzee wa kamati haswa, nimemaliza.🚶🚶
Kote lazima uende mpaka congo, nilishindwa nikaamua nikae pembeni.kamati ya ufundi..kwa babu tanga, swax na kg town
hatari sana chiefKote lazima uende mpaka congo, nilishindwa nikaamua nikae pembeni.
Siyo kweli,bali ni kujiendekeza na tamaa za kijinga.Watu wengi ambao ni wafanyabiashara/wajasiriamali wamekua wakiusishwa/wakiamini kuwa ili kufanikiwa katika biashara itabidi ufanye ndumba kidogo ili mambo yaende sawa.
Leo naomba tupeane uzi juu ya ili kwamba ni je kuna ukweli wowote kwamba ili mtu afanikiwe yampasa kufanya ndumba au la...... Uwanja upo wazi tuwe wakweli ili tujue na wengine kama ndumba zinafaida tufanye...... MAWAZO YENU WAKUU.
umenikumbusha mbali sana mkuu😁😁😁Kwa upande wangu biashara kadhaa nimefanya ila kuuza mitumba aise inahitaji uwe mzee wa kamati haswa, nimemaliza.🚶🚶
Aise simulia walau kidogo ndugu😅😅umenikumbusha mbali sana mkuu😁😁😁