Ni lazima uchawi ili kuongeza mauzo na wateja kwenye biashara?

Dkt Guston

Senior Member
Feb 28, 2022
105
110
Habari wana jamii forum

Changamoto iliyopo mtaani sasa hivi ni tatizo la kupata wateja na kuongeza mauzo kwenye biashara limekua ni swala gumu sana , jobless wengi wanaanzisha Biashara na zianishia kufa kwa kukosa wateja au kukosa mbinu za kufanya mauzo

Njia mojawapo ya kujihakikishia unakuwa mtu mwenye amani katika biashara yako ni kua na wateja na mauzo mengi kila siku.

Donald Muller aliwahi kusema "Biashara bila mauzo ,nikujilisha upepo"

Kuna watu wengi wanakata tamaa kwenye biashara zao sababu hawana wateja, licha pia ya kua na wateja lakini bado hawana muendelezo mzuri wa mauzo yao ukilinganisha na mitaji waliowekeza .

Wengine hata wameamua kusema kabisa kua "Bila kuloga hutaweza kufanikiwa na kupata wateja wengi" ,Hebu jiulize Ali Express, KIKUU na Amazon Wana mloga nani ili waweze kuuza ,utasema kwamba Amazon hawana bidhaa wao ni kama soko tu la kuuzia bidhaa, Je kikuu, wanamloga nani, Uber na bolt Wana mloga nani ili wapate wateja?

Biashara inahitaji mbinu ili uweze kufanya mauzo na kua na wateja wa kudumu, mbinu hizo za biashara ndizo ambazo mimi nataka nikupe wewe leo ili uweze kufanya mauzo mengi na kua na biashara iliyo simama vizuri

Inawezekana ni marafiki zako, ndugu zako, watoto wako, mke wako au mume wako, usikate tamaa ndio mana leo mimi nipo kukusaidia wewe

MILANGO MIKUBWA YA MAFANIKIO YAKO unayoitafuta imefichwa kwenye UTAYARI WAKO wa kuthubutu.

1. Je, unahitaji kukuza biashara yako iwe na wateja wengi?

2. Je, unahitaji kupata wateja wa kudumu?

3. Je, unahitaji kuondokane na Madeni ili uwe uhuru na ufikie malengo yako ya kifedha?

4. Kuuza Zaidi bidhaa / huduma zako ili upate faida zaidi na ukuze biashara yako?

Nimekuewekea kitabu hapo unaweza download na kupata elimu

View attachment KUPANGA NI KUCHAGUA.pdf


View attachment 2349828
 
Habari wana jamii forum

Changamoto iliyopo mtaani sasa hivi ni tatizo la kupata wateja na kuongeza mauzo kwenye biashara limekua ni swala gumu sana , jobless wengi wanaanzisha Biashara na zianishia kufa kwa kukosa wateja au kukosa mbinu za kufanya mauzo
MKUU UNAMJUA AMOS NYANDA?
 
Back
Top Bottom