Sio kwel kijana hapo chin hukumalizia vizurNani alikudanganya kuwa mkombozi wa binadamu ni binadamu mwingine?
Mkombozi wako ni fikra zako.
Mkombozi wa wanadamu ni fikra zao.
Acha kukabidhi akili zako kwa binadamu mwingine. Mbaya zaidi, usijaribu hata kufikiria kukabidhi akili zako kwa wanasiasa.
Kama binadamu angekuwa mkombozi basi hata Mungu angemtuma binadamu lakini hakufanya hivyo bali alimtuma Yesu.
Tunaambiwa Yesu alikuwa mkombozi lakini hakuwa binadamu bali alikuwa ni Mungu katika umbo la binadamu.
Duuuh hii nayo kichekesho cha karne Yesu hakuwa binaadamu ? Duuuh hatari hizi dini za watu ni balaa sanaNani alikudanganya kuwa mkombozi wa binadamu ni binadamu mwingine?
Mkombozi wako ni fikra zako.
Mkombozi wa wanadamu ni fikra zao.
Acha kukabidhi akili zako kwa binadamu mwingine. Mbaya zaidi, usijaribu hata kufikiria kukabidhi akili zako kwa wanasiasa.
Kama binadamu angekuwa mkombozi basi hata Mungu angemtuma binadamu lakini hakufanya hivyo bali alimtuma Yesu.
Tunaambiwa Yesu alikuwa mkombozi lakini hakuwa binadamu bali alikuwa ni Mungu katika umbo la binadamu.
Fikra mbele ya mfalme mwenye mrengo mmoja yafaa nini?Nani alikudanganya kuwa mkombozi wa binadamu ni binadamu mwingine?
Mkombozi wako ni fikra zako.
Mkombozi wa wanadamu ni fikra zao.
Acha kukabidhi akili zako kwa binadamu mwingine. Mbaya zaidi, usijaribu hata kufikiria kukabidhi akili zako kwa wanasiasa.
Kama binadamu angekuwa mkombozi basi hata Mungu angemtuma binadamu lakini hakufanya hivyo bali alimtuma Yesu.
Tunaambiwa Yesu alikuwa mkombozi lakini hakuwa binadamu bali alikuwa ni Mungu katika umbo la binadamu.
UNAMUONGELEA HUYUU AU..Nauliza katika mji ule uliokuwa chini ya himaya ya utawala ule, wengi waliishi kwa taabu na karaha huku wakingojea mkombozi!
Kweli hayawi hayawi akaja Bwana mfalme ambaye hakudhaniwa kabisa na wana wa mji ule na kusema atahakikisha anawakomboa wana wa mji ule hasa watoto wa maskini kwa kuhakikisha wanapata elimu na ya juu kabisa kwa kuwapa yale yawapasayo watoto wale wa maskini.
Ni takribani mwaka mmoja umeisha mfalme akiwa anafanya kazi yake katika mji ule, raia wake wengi wamekuwa wakijipa matumaini kwa yale anayoyafanya...
Wanajiuliza kweli kwamba huyu ndiye aliyekuwa akisubiriwa kuwakomboa..
Matarajio yao yamekuwa na sintofahamu nyingi!
Ewe mtukufu mfalme ni wewe uokoae kwa kutumbua majipu?
Naam yupo ajae kuokoa kwa maji na moto...
Usiandike kwa mihemko, toa uthibitisho wa bei ya mazao manne ambayo bei yake imeongezeka mara nne, usilete habari za korosho hapa.Kawaambie:
Watoto wanasoma bure;
Watumishi hewa wameondolewa;
Wauza unga wakubwa wanakamatwa kama kuku;
Safari za viongozi kupishana angani kwenda nje zimekoma;
Vyanzo vya kodi vimeongezeka;
Mapato ya kila mwezi yameongezeka;
Viongozi wanaotaka kumentain status quo wanatumbuliwa;
Bei ya mazao ya wakulima imeongezeka mara nne;
Nk. Nk. Nk.
Aisee umenikumbusha mbali sana...kweli bwana sasa waTz wanapata ubatizo kwa moto.Mtabiri maarufu aitwaye Yusuf Makamba alitabiri hivi, "Bwana huyu aliyepita aliwabatiza kwa maji, lakini Bwana huyu ajaye atawabatiza kwa moto!" Mwaonaje utabiri huu??
wamakonde mnamatatizo hio bei ya korosho imewavua akili kabisa.Kawaambie: