Je ni kweli hili suala?

Na ww unakunywaa? Em kwanza nidokoze vp mtakatifu anaonja
Kiukweli nakunywa na ubaya nakun'guta kila aina ya pombe makata break buza mataputapu Heineken wines gongo vodka konyagi... nachanganya ladha.

Mtakatifu hapa ajisemee maana kuna wale wanavuta ila wanavutia washing room
 
Kiukweli nakunywa na ubaya nakun'guta kila aina ya pombe makata break buza mataputapu Heineken wines gongo vodka konyagi... nachanganya ladha.

Mtakatifu hapa ajisemee maana kuna wale wanavuta ila wanavutia washing room
Daaah umetisha hadi mataputapu[emoji119] [emoji119]
 
Je wakati huyo jamaa anaongea hayo alikuwa ashatundika chupa ngapi? je na wewe ulikuwa ushatundika ngapi? Je ushawahi kutana nae kesho yake akiwa hana pombe kichwani ukamuuliza alikuwa anamaanisha nini? MAANA sisi kujua alikuwa anamaanisha nini itabidi mpaka weekend tukiwa tumeutundika kama yeye.
 
Usiongee hivyo bwana unanikata maini ujue
 
Tatitzo wanatuonea sisi wanatwambia tunapenda gauni.
Basi ngoja na Mimi nigonge like kwanza
Hahaaa. Best hiyo ni tabia ya mtu binafsi na sidhani kwamba zinaenda pamoja kwamba usipokuwa mlevi lazima upende sketi

Hongera sana kwa kutokunywa hivyo vitu.
 
Wallah simwachi huyu ni fresh kabisaaaaaaa.mbn huyu pm nitamfundisha mimi namna ya kuingia jirani .
Subira haivuti heri peke yake bali huvuta watu pm pia.
Hahaaaa na hatimae umemvutaaa
 
Jirani mimi kiukweli kuonja siachi.... pombe ni Tamu saana ila siyo kila siku
Haaaaa tena weweeeeee...jirani huwezi amini hata huu mwandiko wako unanukia chang'aa na balimi.

Swali linaloniumiza kichwa ni kwamba kumbe hata huko zipo.
 
Basi ukiona hivyo tean domo zege. broo watu wanasema by experience
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…