Mama yangu weeeeee...jamani nilikuwa nakutafuta siku nyingi ujue.haleluya!!hahahahahaNiliapa na Mungu wangu nisaidie kutimiza kiapo changu siku zote za maisha yangu yalio baki hapa duniani kuwa katika kinywa changu kitu kinachoitwa kilevi iwe pombe ama sigara kisiguse hadi naingia kaburini.
Hahahaha jirani buanaaaMama yangu weeeeee...jamani nilikuwa nakutafuta siku nyingi ujue.haleluya!!hahahahaha
Jirani hii kauli sijawahi kuisikia wala kukutana nayo zaidi ya miaka 20+Hahahaha jirani buanaaa
Ni kweli wanaume wachache wana uthubutu wa kusema hvyoJirani hii kauli sijawahi kuisikia wala kukutana nayo zaidi ya miaka 20+
Jirani sidhani kama huyu mwenye kauli yake anajijua kwamba yeye ni Tanzanite!!Ni kweli wanaume wachache wana uthubutu wa kusema hvyo
Unanitafuta?!?Mama yangu weeeeee...jamani nilikuwa nakutafuta siku nyingi ujue.haleluya!!hahahahaha
Hawezi kujua aisee sis watu wa Mungu tunawatafuta hawaJirani sidhani kama huyu mwenye kauli yake anajijua kwamba yeye ni Tanzanite!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utakua unakasoro wewNiliapa na Mungu wangu nisaidie kutimiza kiapo changu siku zote za maisha yangu yalio baki hapa duniani kuwa katika kinywa changu kitu kinachoitwa kilevi iwe pombe ama sigara kisiguse hadi naingia kaburini.
Nilikuwa naitafuta hiyo kauli yako uliyoitoa hapo.Unanitafuta?!?
Hebu muache mwenzako bhana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utakua unakasoro wew
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo hukamiliki hadi utumie hiyo mivitu si ndio?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utakua unakasoro wew
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi leo imekufikia.Nilikuwa naitafuta hiyo kauli yako uliyoitoa hapo.