Je ni kweli betri za samsung zina tracking device?

Je ni kweli betri za samsung zina tracking device?

Hao jamaa sijui huwa wanaajenda gani maana juzijuzi tu hapa ilithibitishwa kuwa TV za sumsang zina uwezo wa kunasa sauti ya watu wanaozungumza wakiwa karibu na TV hiyo kisha kuituma makao makuu yao hivyo watu wakatakiwa wawe makini katika mazungumzo yao karibu na TV hizo
Umesema ni sumsang
 
Kwamfano kama wewe binafsi, Una taarifa gani nyeti ambayo unahisi Hao Samsung wakiipata itawafaidisha?
Au una kipi cha ziada ambacho samsung wanakitafuta???
Kwa mara ya kwanza umeandika pointless mkuu hama jukwaa
 
Kwa mara ya kwanza umeandika pointless mkuu hama jukwaa
Nimeuliza swali mkuu,
kama yeye hana hivyo vitu basi tutaweka takwimu sawa, na kama anazo basi azitaje tuone kama zitawafaidisha Samsung.
Au ungeandika hizo point zako ili tuzione
 
S
Kuna kitu kinaitwa privacy ndugu! Hata kama huna cha kuficha.

Mie binafsi nina mengi ya kuficha kama picha za mke wangu za uchi.[emoji1]
Sidhani kama uchi wa mkeo una umuhimu wowote kwa samsung, kwanza una uhakika gani wengine hawajawahi kuuona au hawana kwenye simu zao?
 
Hiyo sio tracker bali inaweza kuwa chip ya NFC au Near Field Communication inyosaidia kuweza kuamisha information kati ya simu mbili zenye NFC au kufanya malipo, au kufanya automated process kwa kutumia NFC tags


Hata ukiangalia chini ya logo ya Samsung utaona imeandikwa "Near Field Communication" simu za Zamani NFC chip ilikuwa kwenye battery I'm sure hiyo ni note 4 lakini siku hizi zina we kwa nyuma ya simu au mbele kwa mfano Sony xperia XZ

Samsung au kampuni yote ya simu haitaji kukuwekea tracking device yoyote maana tayari wana full administrative privileges kwenye simu yako so wakijisikia, kuweka instructions kwenye OS yao ili kuwasha GPS kila ambapo simu yako screen ipo off wajue upo eneo gani wanaweza sema, hairuhusiwi kisheria ndio maana hawafanyi..

Sema hichi kitu wamekionyesha dhahiri kwenye simu zao za Note 7 walivyo watumia users updates ambazo zili ji download na kijiinstall kimya kimya bila muhusika kujua kitu na kulimit capacity ya simu ku charge.
Hata mimi najua hivyo ila watu waoga tu wakutrack kwa kipi cha maana kama wakiamua its 0sec tu uko gwantanamo bay
Hata
 
S
Sidhani kama uchi wa mkeo una umuhimu wowote kwa samsung, kwanza una uhakika gani wengine hawajawahi kuuona au hawana kwenye simu zao?
Gwagwagwagwagwagwagwa leo nimecheka hadi nimeuona uchi wa mke wa jamaa kwa kubert kichwani mwangu...
 
Sasa hapa uzi ubadilishwe uandikwe...Mkono wa jaffar ni muzuri saaaaanaa!
 
Nimeuliza swali mkuu,
kama yeye hana hivyo vitu basi tutaweka takwimu sawa, na kama anazo basi azitaje tuone kama zitawafaidisha Samsung.
Au ungeandika hizo point zako ili tuzione
CHIEF MKWAWA njoo hapa utufafanulie pia @Null pointer
 
Wewe kapuku data zako samsung wazitake zann zaidi utawajazia server zao tu..hata battery yangu inahizo waya pia lkn nadhani ni system ya battery tu sina shaka nazo k
 
Back
Top Bottom