Kwahiyo wewe ndio msemaji wa watanzania wote,akili za kinyumbu hiziNi haki yao, hofu yangu tu ni kuwa wameshapoteza mvuto wa kisiasa kwa sasa.
Kwani vyama vipo kukidhi haja za Watu?.Mavyama meeengi ya nini wakati hata vyama vilivyopo havijaweza kukidhi haja za watanzania.
Anzisheni tu, mie sio msemaji wa watanzania.Kwahiyo wewe ndio msemaji wa watanzania wote,akili za kinyumbu hizi
Chama gani kipo kwaajili ya kukidhi haja za watanzania!! Ajira za watu hizo, wachumia tumbo tu.Mavyama meeengi ya nini wakati hata vyama vilivyopo havijaweza kukidhi haja za watanzania.
HahahaaaaaKwahiyo kimefanywa cha Wauza K Party?
Labda!Au ndio hichi kilichowasilisha Maombi ya Kusajiliwa kwa Msajili wa Vyama vya Siasa kinachojihita "UMOJA PARTY" ? View attachment 1994851
Mgaya naona akina Mzee mdee wanataka kuunda CCM C , . Muda ni wakati!Nimepata taarifa/fununu kuwa kuna baadhi ya wabunge wa chama cha upinzani wameamua kuunda chama kipya cha siasa kitakachokuwa mbadala wa chama kikuu cha sasa Chadema.
Taarifa zinadai wabunge hao wanawake wanaungwa mkono na baadhi ya wabunge wanaume kutoka chama tawala na pia viongozi waandamizi wa CUF na NCCR Mageuzi wametajwa kuwemo kwenye chama hicho kipya kinachobeba sura ya kitaifa.
Habari kamili zitawajia.
Hahahaaaa.....!Mgaya naona akina Mzee mdee wanataka kuunda CCM C , . Muda ni wakati!
Taarifa ya kipuuzi.Nimepata taarifa/fununu kuwa kuna baadhi ya wabunge wa chama cha upinzani wameamua kuunda chama kipya cha siasa kitakachokuwa mbadala wa chama kikuu cha sasa Chadema.
Taarifa zinadai wabunge hao wanawake wanaungwa mkono na baadhi ya wabunge wanaume kutoka chama tawala na pia viongozi waandamizi wa CUF na NCCR Mageuzi wametajwa kuwemo kwenye chama hicho kipya kinachobeba sura ya kitaifa.
Habari kamili zitawajia.
Kwahiyo CCM kimeumbwa kuwa chama tawala milele.Taarifa ya kipuuzi.
Ungesema kuwa kuna watu wanaasisi chama kipya cha kisiasa. Hiyo ya kusema mbadala wa chama fulani ni ujinga. Hakuna chama kimachoasisiwa ili kuwa mbadala wa chama kingine, kama vile hakuna binadamu anayezaliwa mbadala wa mtu mwingine.
Tatizo la Zitto Kabwe aliendekeza ukigoma!Muulize Zitto changamoto ya kuunda chama na kukimbizana nacho....
Yaani kama ilikua sio marehemu Maalim Seif kuja na watu wake kumsaidia,Zitto ilikua iwe kwaheri ya kuonana
Maalimu kafa,graph inaenda kuleeeeee....na Zanzibar wanakuja na chama chao binafsi,patamu hapo
Hawa wanawake wategemee shughuli pevu sana
Ni haki yao kikatiba, kikubwa watimize matakwa ya kisheriaNimepata taarifa/fununu kuwa kuna baadhi ya wabunge wa chama cha upinzani wameamua kuunda chama kipya cha siasa kitakachokuwa mbadala wa chama kikuu cha sasa Chadema.
Taarifa zinadai wabunge hao wanawake wanaungwa mkono na baadhi ya wabunge wanaume kutoka chama tawala na pia viongozi waandamizi wa CUF na NCCR Mageuzi wametajwa kuwemo kwenye chama hicho kipya kinachobeba sura ya kitaifa.
Habari kamili zitawajia.
Nimepata taarifa/fununu kuwa kuna baadhi ya wabunge wa chama cha upinzani wameamua kuunda chama kipya cha siasa kitakachokuwa mbadala wa chama kikuu cha sasa Chadema.

Wakati Zito anaanzisha ACT kwa mgongo wa ccm alikuwa na matarajio makubwa, ila hadi muda huu anategemea back up ya wapemba kutokana na mgogoro wa CUF. Huku bara ameshindwa kutoboa. Hicho chama cha system kimepigiwa debe muda huku mitandaoni, lakini hakuna uhakika wa kutoboa. Hiki sio kizazi cha kuchaguliwa mke, bali watu wanachagua wenyewe.