Sasa kama wewe hujaelewa sijui mie ndio itakuwaje maana nilitaka kuku tag uje u summary hahahahaha ili nieleweMimi sijakuelewa asee...
na pia niulize tuu, Je ni kwa kiasi gani kutiana ni muhimu sana kwenu hadi iwe ndiyo ground ya kuanzisha uhusiano serious kama uchumba or ndoa. kwa kifupi, swali ndiyo hiloSasa kama wewe hujaelewa sijui mie ndio itakuwaje maana nilitaka kuku tag uje u summary hahahahaha ili nielewe
Hahahha, mimi nimetoka kappa! Tusubiri walioelewaSasa kama wewe hujaelewa sijui mie ndio itakuwaje maana nilitaka kuku tag uje u summary hahahahaha ili nielewe
Nakushauri uwe unampe papuchi kutwa mara tatu!habari zenu,
Straight to the point, Wanaume naomba mnisaidie kuelewa jambo moja. leo kuna jamaa nimetoka nae lunch, he was a long time friend so recently tukakutana, aka ni`invite lunch while catching up sababu ni since 2014 nilivyo mpotezeaga kwamba siwezi toka nae sababu he appered as a player na ni dada yake ndiyo alitukutanisha, so dada mtu akanipa tahadhari.
So, leo tukaenda lunch yetu safi kabisa, tukaulizana pale maswali ya salam, umeoa or umeolewa, una watoto wangapi, kwa bahat nzuri or mbaya yeye haoa or mimi kuolewa, wala no kids yet. Akanambia but yeye ana f**kmate ambaye ni dem wa mtu na anatarajia olewa soon.
sasa katika maongezi ananiambia anaomba mimi na yeye tu`hook up! nadhani anataka niwe f**kmate wake. Hapo hapo jamaa anasema yeye anakuwa muwazi tuu kwangu kwamba kama tukiamua kuanza ku`hit it, na tuka` fall in-lov or kutaka mambo kuwa serious we can take it to another level. Of which i dont need to agree kama sipendi hiyo naman anataka kuanzisha mahusiano.
Hapa ndiyo nashindwaga elewa wanaume, na pia niulize tuu, Je ni kwa kiasi gani kutiana ni muhimu sana kwenu hadi iwe ndiyo ground ya kuanzisha uhusiano serious kama uchumba or ndoa. Nisaidieni kuelewa nadhani mimi ndiyo mshamba as hii ni mara ya tatu nakutana na mwanaume wa hivi. Na wote inakuwa zero coz siamini kama kuanza na ngono ndiyo msingi bora wa mahusiano, em niambien tuu labda terms and conditions za ku`date ziko updated na new version ni mimi tu ndo sija`update.
Msaada kaka zangu!!!!!!!!!
i present.
Unajaribu ku-generalize mambo kitu ambacho si sawa!na pia niulize tuu, Je ni kwa kiasi gani kutiana ni muhimu sana kwenu hadi iwe ndiyo ground ya kuanzisha uhusiano serious kama uchumba or ndoa?
kwa kifupi, swali ndiyo hilo
asante, sitaki kuamini kwamba its very unlikely but wapo ila ina`hitaji intervention kuwapata...Kwanza una bahati kukutana na watu wawazi, amekuambia ukweli na hajakudanganya. Ni juu yako kufanya maamuzi sasa, ukubali hook up sex au usubiri mtu "sahihi", which is very unlikely kwa kizazi cha leo.
hahah sawa, but hakuna ushauri ulioombwa hapo, ni swali linalo hitaji jibu tuu my friend.Wadada bwana hakuna jema kwao , Umwambia uwazi kuwa unataka kumtafuna tu shida, Uzunguke kuwa utamuoa kumbe lengo nikula bustani shida.
Yaani na hili unataka ushauri kweli Jamani..
Ebu Mpe bwana toka Miaka yote hiyo jamaa na amekuita lunch umeenda mpe bwana mengine yatajiletaga