Je ni kwa kiasi gani ngono ni muhimu sana kwa wanaume hadi iwe chanzo cha kuanzisha uhusiano seriou

Wanaume wengi wako hivyo ni vile wengi wao hawapendi kusema hivyo ili wasionekane malayazz au players;sasa ww madam ni kama umepata luck flan hivi ya kuambiwa ukweli bila kumung'unyiwa maneno so ni juu yako ww kunyongwa au kuzikwa hai.
 
Kwan hujawahi kutiana mpk iwe kitu cha ajabu namna hiyo?!

Wadada wa jf asilimia kubwa wanasema hawana wapenzi au watu wa kutiana nao.
 
Kwan hujawahi kutiana mpk iwe kitu cha ajabu namna hiyo?!

Wadada wa jf asilimia kubwa wanasema hawana wapenzi au watu wa kutiana nao.
Elewa swali kakangu, kama halijaeleweka kwako unaeza pita tuuuu..
 
Wanaume wengi wako hivyo ni vile wengi wao hawapendi kusema hivyo ili wasionekane malayazz au players;sasa ww madam ni kama umepata luck flan hivi ya kuambiwa ukweli bila kumung'unyiwa maneno so ni juu yako ww kunyongwa au kuzikwa hai.
asantee.. sasa napata picha kwa kweli..
 
Mleta mada, kwa miaka ya leo hata mjinga anataka aonje kitumbua kwanza ndipo afanye maamuzi ya kuoa. Hizo k kwa taarifa yako tu ni kwamba zina ladha tofauti. Asipo onja anaweza kujikuta amenunua ndimu akidhani ni chenza
 
na pia niulize tuu, Je ni kwa kiasi gani kutiana ni muhimu sana kwenu hadi iwe ndiyo ground ya kuanzisha uhusiano serious kama uchumba or ndoa. kwa kifupi, swali ndiyo hilo
Baby M nikuambie kwamba ni kawaida yetu sisi kuonja asali kabla ya kuchonga mzinga, je wewe una feelings zozote kwa huyo anaetaka kuwa https://jamii.app/JFUserGuide mate wako? kama unazo endelea kuwa nae karibu bila kumpa tunda BUT jua kwamba usipompa ataendelea ku https://jamii.app/JFUserGuide na yule aliyekwambia anaye mpaka siku ile ambayo utaamua sasa na wewe ku https://jamii.app/JFUserGuide https://jamii.app/JFUserGuide naye. Ni hayo tu Baby M.
 
Back
Top Bottom