Je ni kwa kiasi gani ngono ni muhimu sana kwa wanaume hadi iwe chanzo cha kuanzisha uhusiano seriou

Baby M

JF-Expert Member
Apr 18, 2012
1,037
415
habari zenu,

Straight to the point, Wanaume naomba mnisaidie kuelewa jambo moja. leo kuna jamaa nimetoka nae lunch, he was a long time friend so recently tukakutana, aka ni`invite lunch while catching up sababu ni since 2014 nilivyo mpotezeaga kwamba siwezi toka nae sababu he appered as a player na ni dada yake ndiyo alitukutanisha, so dada mtu akanipa tahadhari.

So, leo tukaenda lunch yetu safi kabisa, tukaulizana pale maswali ya salam, umeoa or umeolewa, una watoto wangapi, kwa bahat nzuri or mbaya yeye haoa or mimi kuolewa, wala no kids yet. Akanambia but yeye ana f**kmate ambaye ni dem wa mtu na anatarajia olewa soon.

sasa katika maongezi ananiambia anaomba mimi na yeye tu`hook up! nadhani anataka niwe f**kmate wake:rolleyes:. Hapo hapo jamaa anasema yeye anakuwa muwazi tuu kwangu kwamba kama tukiamua kuanza ku`hit it, na tuka` fall in-lov or kutaka mambo kuwa serious we can take it to another level. Of which i dont need to agree kama sipendi hiyo naman anataka kuanzisha mahusiano.

Hapa ndiyo nashindwaga elewa wanaume, na pia niulize tuu, Je ni kwa kiasi gani kutiana ni muhimu sana kwenu hadi iwe ndiyo ground ya kuanzisha uhusiano serious kama uchumba or ndoa?

Nisaidieni kuelewa nadhani mimi ndiyo mshamba as hii ni mara ya tatu nakutana na mwanaume wa hivi. Na wote inakuwa zero coz siamini kama kuanza na ngono ndiyo msingi bora wa mahusiano, em niambien tuu labda terms and conditions za ku`date ziko updated na new version ni mimi tu ndo sija`update.

Msaada kaka zangu!!!!!!!!!

i present.
 
Kwanza una bahati kukutana na watu wawazi, amekuambia ukweli na hajakudanganya. Ni juu yako kufanya maamuzi sasa, ukubali hook up sex au usubiri mtu "sahihi", which is very unlikely kwa kizazi cha leo.
 
Sasa kama wewe hujaelewa sijui mie ndio itakuwaje maana nilitaka kuku tag uje u summary hahahahaha ili nielewe
na pia niulize tuu, Je ni kwa kiasi gani kutiana ni muhimu sana kwenu hadi iwe ndiyo ground ya kuanzisha uhusiano serious kama uchumba or ndoa. kwa kifupi, swali ndiyo hilo
 
Kwani mwanaume akikuambia anataka uwe f..kmate wake ndo mara moja anataka umpe? Its a game, you need to show your maturity ili kuweza kwenda katika level unayotaka. Sometimes ukitoa bila kuonyesha zaidi hicho ulichoombwa mtu atakuona hufai. Jaribu kuonyesha zaidi ya hicho anachotaka, he will definitely change his mind.
 
habari zenu,

Straight to the point, Wanaume naomba mnisaidie kuelewa jambo moja. leo kuna jamaa nimetoka nae lunch, he was a long time friend so recently tukakutana, aka ni`invite lunch while catching up sababu ni since 2014 nilivyo mpotezeaga kwamba siwezi toka nae sababu he appered as a player na ni dada yake ndiyo alitukutanisha, so dada mtu akanipa tahadhari.

So, leo tukaenda lunch yetu safi kabisa, tukaulizana pale maswali ya salam, umeoa or umeolewa, una watoto wangapi, kwa bahat nzuri or mbaya yeye haoa or mimi kuolewa, wala no kids yet. Akanambia but yeye ana f**kmate ambaye ni dem wa mtu na anatarajia olewa soon.

sasa katika maongezi ananiambia anaomba mimi na yeye tu`hook up! nadhani anataka niwe f**kmate wake:rolleyes:. Hapo hapo jamaa anasema yeye anakuwa muwazi tuu kwangu kwamba kama tukiamua kuanza ku`hit it, na tuka` fall in-lov or kutaka mambo kuwa serious we can take it to another level. Of which i dont need to agree kama sipendi hiyo naman anataka kuanzisha mahusiano.

Hapa ndiyo nashindwaga elewa wanaume, na pia niulize tuu, Je ni kwa kiasi gani kutiana ni muhimu sana kwenu hadi iwe ndiyo ground ya kuanzisha uhusiano serious kama uchumba or ndoa. Nisaidieni kuelewa nadhani mimi ndiyo mshamba as hii ni mara ya tatu nakutana na mwanaume wa hivi. Na wote inakuwa zero coz siamini kama kuanza na ngono ndiyo msingi bora wa mahusiano, em niambien tuu labda terms and conditions za ku`date ziko updated na new version ni mimi tu ndo sija`update.

Msaada kaka zangu!!!!!!!!!

i present.
Nakushauri uwe unampe papuchi kutwa mara tatu!
 
na pia niulize tuu, Je ni kwa kiasi gani kutiana ni muhimu sana kwenu hadi iwe ndiyo ground ya kuanzisha uhusiano serious kama uchumba or ndoa?
kwa kifupi, swali ndiyo hilo
Unajaribu ku-generalize mambo kitu ambacho si sawa!
 
Kwanza una bahati kukutana na watu wawazi, amekuambia ukweli na hajakudanganya. Ni juu yako kufanya maamuzi sasa, ukubali hook up sex au usubiri mtu "sahihi", which is very unlikely kwa kizazi cha leo.
asante, sitaki kuamini kwamba its very unlikely but wapo ila ina`hitaji intervention kuwapata...
 
Wadada bwana hakuna jema kwao , Umwambia uwazi kuwa unataka kumtafuna tu shida, Uzunguke kuwa utamuoa kumbe lengo nikula bustani shida.

Yaani na hili unataka ushauri kweli Jamani..

Ebu Mpe bwana toka Miaka yote hiyo jamaa na amekuita lunch umeenda mpe bwana mengine yatajiletaga
 
hahah sawa, but hakuna ushauri ulioombwa hapo, ni swali linalo hitaji jibu tuu my friend.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom