Je ni kosa kumlambisha pilipili Kichaa mtoto wa miaka 2 ili kumtuliza kama akiwa analia hovyo hovyo?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
60,443
120,800
Kwa muda sasa tokea Mwanangu atimize miaka miwili ( 2 ) amekuwa na tabia za kupenda kulia lia sana na nikawa napatwa mno na hasira hadi kufikiria niwe ' namlambisha ' tu vibao kama vile vinavyopatikana reception Police lakini nikagundua naweza ' kukaua ' bure halafu nikagawana ' Majengo ' na Serikali ambapo Mimi nitaenda ' Segerea ' na yeye kwenda kujipumzisha zake ' Makaburini '.

Baada ya kufikiria kwa muda kidogo nikabuni njia mbadala ya ' kumkomesha ' kwani kiukweli huwa anaudhi mno na ni kama vile huwa ananifanyia ' makusudi ' ambapo muda ule tu ambao ndiyo nataka ' Kumbandua ' Mama yake ili pengine nimtafutie mdogo wake Yeye ndiyo huanza kulia tena kwa sauti kali na ya juu hadi ' nahairisha ' kabisa ' Kumkuna ' Mamaake na huwa akizidi sana kupiga ' Mikelele ' yake hadi ' Mkuyenge ' wangu nao ' hunywea ' na kuwa wa ' baridi ' kabisa.

Namshukuru Mwenyezi Mungu kuwa siku hizi kila nikiona anaanza ' kiherehere ' chake cha Kulia huwa ' namlambisha ' Pilipili Kichaa ( ile Kali kabisa ) na huacha kulia mara moja na kulala haraka sana na hata akiamka huwa halii na sasa ' tunaheshimiana ' kabisa na amekubali kunipa ' ushirikiano ' wake wa adabu iliyotukuka.

Je Wadau kwa ' Ubunifu ' wangu huo uliotukuka nimepatia au nijiandae tu kuhukumiwa na Mwenyezi Mungu siku ya Kiama?

Nawasilisha.
 
Hahahaha....brother GENTA at his best.
Huwa nafurahi sana post zako. Nikiziona tu lazima nijiandae kucheka.
Halafu mtu akiingia anga zako lazima ale za uso kwa kumpa makavu "yaliyotukuka".
 
Pilipili Kali aache kulia sio ndo atazidi kulia sababu inamuwasha

Usifanye hivyo hizo ni tabia za watoto zinaisha mbona
 
Hebu ilambe wewe kwanza alafuu upime kama nisahihi kumpa mwanao.

Alafu una umrigani hadi unashindwa kujua chakufanya ilimtoto wako anyamaze hadi umpe hiyo kichaa,sije ikawa we nimtoto menye mtoto.
 
Uwandishi wako kama general galadudu sijui nyinyi ndugu hahahah ila uyo mtoto atakuwa wakiume anamuonea uruma bi mkubwa kupigwa paipu anaona wivu yani
 
Kwa muda sasa tokea Mwanangu atimize miaka miwili ( 2 ) amekuwa na tabia za kupenda kulia lia sana na nikawa napatwa mno na hasira hadi kufikiria niwe ' namlambisha ' tu vibao kama vile vinavyopatikana reception Police lakini nikagundua naweza ' kukaua ' bure halafu nikagawana ' Majengo ' na Serikali ambapo Mimi nitaenda ' Segerea ' na yeye kwenda kujipumzisha zake ' Makaburini '.

Baada ya kufikiria kwa muda kidogo nikabuni njia mbadala ya ' kumkomesha ' kwani kiukweli huwa anaudhi mno na ni kama vile huwa ananifanyia ' makusudi ' ambapo muda ule tu ambao ndiyo nataka ' Kumbandua ' Mama yake ili pengine nimtafutie mdogo wake Yeye ndiyo huanza kulia tena kwa sauti kali na ya juu hadi ' nahairisha ' kabisa ' Kumkuna ' Mamaake na huwa akizidi sana kupiga ' Mikelele ' yake hadi ' Mkuyenge ' wangu nao ' hunywea ' na kuwa wa ' baridi ' kabisa.

Namshukuru Mwenyezi Mungu kuwa siku hizi kila nikiona anaanza ' kiherehere ' chake cha Kulia huwa ' namlambisha ' Pilipili Kichaa ( ile Kali kabisa ) na huacha kulia mara moja na kulala haraka sana na hata akiamka huwa halii na sasa ' tunaheshimiana ' kabisa na amekubali kunipa ' ushirikiano ' wake wa adabu iliyotukuka.

Je Wadau kwa ' Ubunifu ' wangu huo uliotukuka nimepatia au nijiandae tu kuhukumiwa na Mwenyezi Mungu siku ya Kiama?

Nawasilisha.
Kweli ww ni gentamycine siku nyingine akisumbua umpe diazepam alale mpaka asbh ww umalize yako na shemeji
 
dah huo ni ukatili kwa mtoto, mtoto kulia inawezekana kuna kitu hakipo sawa, jaribuni kufwatilia ni nini.
 
Kumbe upo hivyo!!!! aisee hapana unaishije na kuja kuyaandika kama ni kawaida tu!? Duh kuanzia leo na post zako nitaona aliyeandika ni sijui nisemeje

Mtoto wenu anakuwa hajashiba, ....
 
Huyo ndo mkuu GENTAMYCINE aliyetukuka. Post zake ni stress free.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom