Je, ni kitu gani hicho..?

Je, ni kitu gani hicho..?

Lady doctor

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2013
Posts
8,756
Reaction score
7,005
Ni cheupe kama barafu na ni cheusi kama giza, kuliwa ni haramu na kunywa ni halali. Kina herufi tano na kinaanza na herufi ''M'', kinatumiwa na wanaume mara tatu kwa siku na kinatumiwa na wanawake mara moja katika umri wao

JE, NI KITU GANI HICHO?
 
Maswali mengine bwana mwalimu Bishanga njoo kuna maswali huku.

bora hata umejileta mwenyewe, lile zoezi la kukurudisha darasani nimelifuta badala yake ujibu hili swali na ukipata tu vigeregere lazima vipigwe but queen kan asijue
 
Last edited by a moderator:
Hivi barafu ni nyeupe???...just curious

Back
Top Bottom