Je, ni kitu gani hicho..?

Je, ni kitu gani hicho..?

Nahisi siko mbali na jibu, kuhusu kuninong'oneza usijali, niko PM nakusubiri.

naona mpaka nikienda huko PM nitachelewa ngoja tu nikunong'oneze hapa hapa... (kuna kijana mmoja anaitwa king kan ananifukuzia ila ameoa, na ninahisi ameoa ndugu yake, hebu nipe mchakato wa tabia zake kabla cjasema YES)

copy: king kan na queen kan
 
Ni cheupe kama barafu na ni cheusi kama giza, kuliwa ni haramu na kunywa ni halali. Kina herufi tano na kinaanza na herufi ''M'', kinatumiwa na wanaume mara tatu kwa siku na kinatumiwa na wanawake mara moja katika umri wao

JE, NI KITU GANI HICHO?
...kitu..! Hicho kitu ni kinaniliyu kile...ehee hicho hicho
 
Ni cheupe kama barafu na ni cheusi kama giza, kuliwa ni haramu na kunywa ni halali. Kina herufi tano na kinaanza na herufi ''M'', kinatumiwa na wanaume mara tatu kwa siku na kinatumiwa na wanawake mara moja katika umri wao

JE, NI KITU GANI HICHO?

jibu ni MFANO tu na hakuna kitu kama hicho watudanganya
 
naona mpaka nikienda huko PM nitachelewa ngoja tu nikunong'oneze hapa hapa... (kuna kijana mmoja anaitwa king kan ananifukuzia ila ameoa, na ninahisi ameoa ndugu yake, hebu nipe mchakato wa tabia zake kabla cjasema YES)

copy: king kan na queen kan
king kan ni mume halali wa Queen Kan... Afu una nini wewe?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom