Je, ni kitu gani hicho..?

Je, ni kitu gani hicho..?

unamjua snowhite? au snow sio barafu? kiswahili kiko shallow mkwe

Huyo mtani wangu nampata sana mkwe...
Wenye kukiboresha kiswahili hutoa tafsiri ya snow kama theluji na kweli theluji huwa ni nyeupe lakini barafu 'ice' hiyo sijapata kujua yake rangi.
 
Last edited by a moderator:
Huyo mtani wangu nampata sana mkwe...
Wenye kukiboresha kiswahili hutoa tafsiri ya snow kama theluji na kweli theluji huwa ni nyeupe lakini barafu 'ice' hiyo sijapata kujua yake rangi.

Barafu ni maji yaliyopata baridi mpaka kuwa barafu. Maji hayana rangi hvyo basi barafu nayo haina rangi.
 
Huyo mtani wangu nampata sana mkwe...
Wenye kukiboresha kiswahili hutoa tafsiri ya snow kama theluji na kweli theluji huwa ni nyeupe lakini barafu 'ice' hiyo sijapata kujua yake rangi.

nahisi barafu haina rangi.
nashukuru kwa majibu mazuri, mkwe umekulia umombasani? una kiswahili sanifu
 
Hahaha...mkwe Mombasa hata siijui yafananaje ila watu wa kule huongea Kiswahili kinachovutia kukisikiza
 
Back
Top Bottom