Je, ni kanda mbili au samaki mbili?

Je, ni kanda mbili au samaki mbili?

muone kwandhaaa............uroho tu!!!
bathi kama wa tanga ntakupikia ugali wa muhogo....mie nakaa pale chumvini, njia panda ya kwenda kisosora!!!

Ah kumbe ni wa kwetu? Hilooooo, basi na uroho wangu ntakuja mapema mapema kuja kula....na hapa naenda kutafuta dawa ya kuharisha ili nisafishe tumbo by the time nakuja kwenu kula niwe nina njaa ya kula ndoo nzima ya ugali wa muhogo:yo:
 
mapema mapema wapi banaaa.........we si unajua jadi za wazigua......msosi wa mchana waanza kupikwa saa kumi jioni!!!
so chelewachelewa mwaya.............
 
mapema mapema wapi banaaa.........we si unajua jadi za wazigua......msosi wa mchana waanza kupikwa saa kumi jioni!!!
so chelewachelewa mwaya.............

Kama ulivyosema, nimechelechelewa kuja kwenu, je sasa hivi ni muda mwafaka kuja kula kabla ya mechi ya Man Utd. na Real Madrid kuanza?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom