Hawa ni samaki wawili wenye mikanda miwili ya kanda mbili!
afu kama kibua vile............kwa nazi sasa..........ukatupiamo na bamia na ngogwe weeeeeeeee kaugali laiiini kanashuka taratiiib Mkereketwa_Huyu apetaiti ipo palepale!
Wewe si mtu mzuri hata. Yaani umenigusa mno na hiyo appetite, hapa najiandaa kwenda kazini hivyo lunch lazima nile kwa Mama Ntilie anayejuwa kupika hii kitu. Kuna Mama Ntilie unayemfahamu maeneo ya Posta mwenye kupika haya mavituz? Naomba unipashe ili baadaye nimtafute.
hahahahaaaaaaaa asubuhi yote hii una njaa ya ugali?!?!?! we msukuma nini??
anyway kwa posta hata sijui mama ntilie gani anapikamo hivyo.................nitafanya uchunguzi! na wewe fanya ukipata unitonye pia!
Mi si msukuma, ila umenigusa mno na hiyo appetite, yaani nina hamu uwezi amini. Sipendi kutafuta watu hovyo hovyo, ila kama nikijuwa fulani ni mpishi wa kitu fulani then namtafuta. Ila kama nitapata Mama Ntilie ajuaye haya masuala then nitawajulisha wana JF wote humu. We ni mchokozi, ntakusemea kwa Mama.
nyie ohooo thamaki thamaki mwisho kupakana shomboaiii wewe uthinithemeeeee...............ntakupikia bathi mimi hao thamaki....jioni uje ufaidi ujilambe kabisa!!
tafuta wa kukusongea liugali la kisukuma lile gumu!!!
aiii wewe uthinithemeeeee...............ntakupikia bathi mimi hao thamaki....jioni uje ufaidi ujilambe kabisa!!
tafuta wa kukusongea liugali la kisukuma lile gumu!!!
Kumbe we kweli ni mbaya. Yaani unataka nile lile liugali la dona la kisukuma, nikivimbiwa? Kula lile dona la kisukuma unatakiwa uwe msukuma au mtu mwenye mazoea ya kula ule ugali kama watu wa Kigoma. Mie ni mshamba wa pwani kwetu Tanga, tumezoea kula sembe bora na wali pamoja na samaki. Ila kwa kuwa utanipikia nimegueza kauli yangu ya kutaka kukuthemea kwa Mama:nono:
nikiipata ntashukurujeshombo tu mbona dawa yake ndogo thanaaaaaa......au na wee waitaka shombo?!?!? taamu
nikiipata ntashukuruje