Je, ni halali kutoza riba bila kibali?

May 8, 2014
73
10
Nimatumaini yangu kuwa mko wazima wa afya njema wana jf hasa jukwaa hili la sheria.
Kuna jambo limenipa msukumo kuandika uzi huu kuomba msaada wa kisheria. Kuna jamaa yangu mmoja ambaye ni ndugu yangu (mjomba) mtoto wa dadangu, yeye kuna mtu anamdai tsh200,000 cha kushangaza mdai aliamua kumchukuli hatua jamaa huyu kwa kumpeleka polisi baada ya kubaki sh100,000tu na muda kama miezi mitatu zikiwa zimepita. Baada ya mdai kwenda polisi akaandika kuwa anamdai sh250,000 akimaanisha kila mwezi anatoza riba ya sh30,000 kwa laki1 hivyo jumla laki2 imezaa laki3 na nusu. Kinachomsumbua jamaa ni kwamba iweje kuwepo na riba na jamaa hali yake ni mbaya kwa muda alopewa polisi hawezi kulipa hela hizo. Ushauri sheria inasemaje kuhusu hilo? anaweza kwenda mahakamani kufungua shauri la kutozwa riba ambayo kwa ninavyojua ni kosa kutoa pesa kwa riba bila kuwa kibali. Karibuni wanaojua sheria.
 
Acheni utapeli.Lipeni deni la watu na riba.Hao wakopeshaji binafsi wanaitwa PRIVATE LENDERS.Wako duniani pote.Unaposema bila kibali unamaanisha kibali cha nani Zaidi ya mkopeshaji?
Si watu wote wana uwezo na dhamana za kuchukua mikopo benki ndio maana hawa PRIVATE LENDERS hujitokeza kusaidia hayo makundi.

Watanzania wenzetu wanashindwa kutuamini kutukopesha sababu ya kukubuhu kwenye utapeli wa kulipa hasa mikopo.Wahindi na waarabu hukopeshana kibinafsi tena bila hata kuandikiana popote mamilioni na hulipana bila shida watanzania tuna nini jamani? Dawa ya deni kulipa.

Yaaani Tanzania Mtu anakuja kukopa unampa bila hata kuandikiana kokote sababu unamwamini kesho unaenda mdai anaanza kuleta za kuleta mara utasikia uliponipa shahidi wako alikuwa nani ulinipiga picha unaponipa n.k
Uhuni wa Tabia ya baadhi ya watanzania kutolipa ndio umefanya mabenki kuwa yanatoza riba kubwa sana kwenye mikopo
Ushauri wangu lipeni huo mkopo na hiyo Riba achene utapeli wewe na huyo dada yako.

Na msinyee kambi wakati bado uzazi ungalipo.Mtakuwa wageni wa nani na mtakopa wapi kama mnatapeli watu wanaowafahamu?
Hapo wala msiende kufungua kesi changianeni ndugu mlipeni mtu wa watu deni lake na mkalishane vikao kuwa ni marufuku ndugu kukopa halafu asilipe madeni ya watu.Ni aibu si kwa mkopaji tu bali hata kwa ukoo.
 
Kwenye masuala ya madai kuna mambo mawili; makubaliano (mkataba) ya maandishi na makubaliano ya mdomo.

Sheria za Madai za Tanzania zinatambua uwepo wa aina hizi mbili za makubaliano.

Sasa hapo ni kujiuliza, je, kulikuwa na makubaliano ya aina gani?

1. Muda wa kurejesha mkopo ulikuwa wa muda gani? Wiki moja? Mwezi mmoja? Mwaka mmoja?

2. Kulikuwa na masharti ya adhabu (penalty) iwapo mkopaji angechelewa kurudisha mkopo?

Huyo anayedai hawezi kubadili masharti ya mkopo hata kama mkopaji alilipa laki 1 tu, kwani, mkataba ni wa pande mbili. Kwa hiyo, kimsingi, mdai hana haki ya kutoza riba iwapo tu hakukuwa na makubaliano hayo.

Iwapo mdai alimwambia mdaiwa kwamba angemtoza riba kama anavyodai, na mdaiwa akaridhia, makubaliano hayo yalipaswa kuwa yameshuhudiwa kwa maandishi au kwa mdomo (wakiwapo mashahidi kati yao si chini ya wawili, yaani, shahidi mmoja kwa kila upande).

Nina imani umenielewa.
 
Acheni utapeli.Lipeni deni la watu na riba.Hao wakopeshaji binafsi wanaitwa PRIVATE LENDERS.Wako duniani pote.Unaposema bila kibali unamaanisha kibali cha nani Zaidi ya mkopeshaji?
Si watu wote wana uwezo na dhamana za kuchukua mikopo benki ndio maana hawa PRIVATE LENDERS hujitokeza kusaidia hayo makundi.

Watanzania wenzetu wanashindwa kutuamini kutukopesha sababu ya kukubuhu kwenye utapeli wa kulipa hasa mikopo.Wahindi na waarabu hukopeshana kibinafsi tena bila hata kuandikiana popote mamilioni na hulipana bila shida watanzania tuna nini jamani? Dawa ya deni kulipa.

Yaaani Tanzania Mtu anakuja kukopa unampa bila hata kuandikiana kokote sababu unamwamini kesho unaenda mdai anaanza kuleta za kuleta mara utasikia uliponipa shahidi wako alikuwa nani ulinipiga picha unaponipa n.k
Uhuni wa Tabia ya baadhi ya watanzania kutolipa ndio umefanya mabenki kuwa yanatoza riba kubwa sana kwenye mikopo
Ushauri wangu lipeni huo mkopo na hiyo Riba achene utapeli wewe na huyo dada yako.

Na msinyee kambi wakati bado uzazi ungalipo.Mtakuwa wageni wa nani na mtakopa wapi kama mnatapeli watu wanaowafahamu?
Hapo wala msiende kufungua kesi changianeni ndugu mlipeni mtu wa watu deni lake na mkalishane vikao kuwa ni marufuku ndugu kukopa halafu asilipe madeni ya watu.Ni aibu si kwa mkopaji tu bali hata kwa ukoo.
Mi nimekuelewa wewe mkuu. salute
 
Back
Top Bottom