goodfool
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 1,664
- 993
Wakuu,
Leo nimekuwa napita mitandaoni na kuona matamko ya viongozi mbalimbali kuhusu kuonya Watumishi juu ya mikopo ya mitaani na Kampuni zinazodai kadi za benki. Je, ni halali hata kwa makubaliano kudhamini kadi ya benki?
Je, sheria zimasemaje?
Je, kesi ya kushindwa kulipa kwa wakati na dhamana ni mshahara inasikilizwaje?
Je, wakopeshaji wa hizo microcredit hawatakiwi kufuata 1/3?
Huku Songea watu wanamiliki kadi kama za watishi wote, je nini kifnyike?
Changieni Jaman, nataka niwape wenzangu elimu.
Sent using Jamii Forums mobile app