Je ni haki kigezo cha ajira mtu awe na diploma bila kujali waliopitia kidato sita

Machozi ya Simba

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,215
2,000
Kuna dogo hapa alikuwa anacheki ajira kamaliza degree akanifowadia screeenshot ya tangazo la ajira nijionee Tz ya vi-wonder,

Kuna ajira za Serikali sikuhizi wanahitaji diploma tu bila kujali kuna waliofaulu kidato cha nne na kuwa na uwezo wa kwenda kidato cha tano na kupata degree vyuoni, Je hii ni haki?
 
FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
4,203
2,000
sasa wadau.. mtu unahitaji cashier au karani.. nayo umuajiri degree holder wa accounts kweli? hapo utakuwa una mu underutilize huyo degree holder...
 
zipompa

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
6,052
2,000
kusoma fm 5&6 ni upuuzi tu. unajikuta aliye soma f4-cheti-diploma ana nafasi kubwa ya kuajiliwa kuliko ww wa 6-chuo tena mbaya zaidi 6 uwe umezingua.

unakuta anatakiwa mtendaji wa kata/kijiji mwenye fm4 na cheti ama dip. ndo mlengwa ww na fm 6 yako huitajiki.
 
Mpombote

JF-Expert Member
Dec 19, 2017
1,867
2,000
kuna dogo hapa alikuwa anacheki ajira kamaliza degree akanifowadia screeenshot ya tangazo la ajira nijionee Tz ya vi-wonder,

kuna ajira za serikali sikuhizi wanahitaji diploma tu bila kujali kuna waliofaulu form four na kuwa na uwezo wa kwenda form five na kupata degree vyuoni, je hii nihaki?
Sasa hapo shida ni ipi mkuu wakati kuna level mbalimbali kazini Mkuu.
Je ni wivu,Chuki,au Unateseka!!? Kwa Tanzania alopitia Diploma na akapata Degree ana uwanja mpana wa kupata ajira kuliko huyo wa Six to degree,kumbuka maisha kama gwaride ukisikia nyuma geuka basi huyu aliyekuwa wa mwisho anakuwa wa kwanza.
 
Mayor Slum

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
589
1,000
kusoma fm 5&6 ni upuuzi tu. unajikuta aliye soma f4-cheti-diploma ana nafasi kubwa ya kuajiliwa kuliko ww wa 6-chuo tena mbaya zaidi 6 uwe umezingua.

unakuta anatakiwa mtendaji wa kata/kijiji mwenye fm4 na cheti ama dip. ndo mlengwa ww na fm 6 yako huitajiki.
Kwa nn hii kitu inakuwa hivi sasa,

Sasa. Form 5 na 6haina Maana,Ila ndio ya yule amefauli vizuri ,

Hata Mm huwanajilaumu sana nikikutana na nafasi za hivyo (zinazohitaji watu WA diploma) unasema moyoni ningejua ningemaliza form four nikaenda chuo tu

Tena shule za sekondari A level za Government kuna stick kinoma

Kuna teacher Moja alikuwa anachapa had I wanafunzi wakataka kuchoma Shule

Hapa Serikali inabidi aingalie na sisi WA Form six zetu sio diploma Mbona zamani hadi darasa LA saba walikuwa wanajiriwaSent using Jamii Forums mobile app
 
chichiboy1

JF-Expert Member
Aug 22, 2015
743
1,000
kuna dogo hapa alikuwa anacheki ajira kamaliza degree akanifowadia screeenshot ya tangazo la ajira nijionee Tz ya vi-wonder,

kuna ajira za serikali sikuhizi wanahitaji diploma tu bila kujali kuna waliofaulu form four na kuwa na uwezo wa kwenda form five na kupata degree vyuoni, je hii nihaki?
Ni haki! wenyewe ndio wanataka hiyo diploma kulingana na mahitaji yao, wanajua kwamba ili upate diploma ni lazima aidha umemaliza f6 au f4+certificate. Hiyo degree ya dogo asikilizie mpaka wakitangaza nafasi za level yake
 
Ivan Prosper

Senior Member
Nov 28, 2016
153
225
[ushasema zamani mkuu now sio zaman bossQUOTE="Mayor Slum, post: 30382346, member: 407679"]Kwa nn hii kitu inakuwa hivi sasa,

Sasa. Form 5 na 6haina Maana,Ila ndio ya yule amefauli vizuri ,

Hata Mm huwanajilaumu sana nikikutana na nafasi za hivyo (zinazohitaji watu WA diploma) unasema moyoni ningejua ningemaliza form four nikaenda chuo tu

Tena shule za sekondari A level za Government kuna stick kinoma

Kuna teacher Moja alikuwa anachapa had I wanafunzi wakataka kuchoma Shule

Hapa Serikali inabidi aingalie na sisi WA Form six zetu sio diploma Mbona zamani hadi darasa LA saba walikuwa wanajiriwaSent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE]
 
Ivan Prosper

Senior Member
Nov 28, 2016
153
225
mtu amemaliza form 4 anaenda kusomea mfano Certificate na diploma in Community Development kumbuka hiyo ni profession anasomea tofauti na wewe uliyesoma History,geography na language...hivyo basi usiteseke na watu wenye proffesion zao na walioenda field work
 
kaka kaka

Member
Sep 27, 2015
23
45
Ukisikia mtu ana diploma ujue anaujuzi wake ambao amesomea na amefanya field work mara3 wewe na form 6 yako umetoka kusoma kiswahili purukushani za wananchi kuwahudumia utaweza ndo mana unaenda degree upate ujuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mayor Slum

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
589
1,000
Kwa hiyo ww unataka kuniambia form six hafanya field work eti , na walio weka Form 5 na 6 walikuwa na malengo Gani, Bado Mm nimeingia Chuo nimekutana na Hawa diploma kazi kubwa ni ujanja tu kwenye Mtihani ( mtu huwezi hata kufanya prestation ) masomo Yale Yale aliyosoma diploma yanachanganya tu kwenye degree tu vitu tudogo sana tumeongezeka
mtu amemaliza form 4 anaenda kusomea mfano Certificate na diploma in Community Development kumbuka hiyo ni profession anasomea tofauti na wewe uliyesoma History,geography na language...hivyo basi usiteseke na watu wenye proffesion zao na walioenda field work
Sent using Jamii Forums mobile app
 
kaka kaka

Member
Sep 27, 2015
23
45
Kwa hiyo ww unataka kuniambia form six hafanya field work eti , na walio weka Form 5 na 6 walikuwa na malengo Gani, Bado Mm nimeingia Chuo nimekutana na Hawa diploma kazi kubwa ni ujanja tu kwenye Mtihani ( mtu huwezi hata kufanya prestation ) masomo Yale Yale aliyosoma diploma yanachanganya tu kwenye degree tu vitu tudogo sana tumeongezeka

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahaa mkuu na A level nako wanaendaga field e maofisini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
bichwa mtoto

JF-Expert Member
Aug 9, 2018
275
1,000
Mkuu umeshindwa kuelewa kuwa kuna saizi ya viwango vy kupata elimu kuna elimu ya chini hii ni la saba mpaka certificate,elimu ya kati hii ni diploma,na elimu ya juu hii ndio degree
katika ajira kila kundi lina nafasi yake kulingana na mahitaji ya mwajiri ukiona nafasi ni ya elimu ya kati basi mahitaji ndio yanahitaji huyu anakuwa ni mtendaji zaidi wa kazi za kila siku na huyo mwenye degree atakapo hitajika basi anakuja kuongeza nguvu pale ya yule mwenye elimu ya kati aliposhindwa na kumuelekeza kwa iyo ukiona tangazo linahitaji mwenye diploma usihoji sana ila jua mahitaji yanamuhitaji zaidi wewe mwenye form 6 katika taaluma ya utendaji wa kazi unakuwa bado hujakidhi kigezo kwa sababu unakuwa huna fani ya utaalam katika utendaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom