Je, ni chuo gani hapa Tanzania kinatoa mafunzo ya ufundi simu au ufundi wa kurekebisha TV na radio?

LUCKDUBE

JF-Expert Member
Dec 30, 2016
2,171
2,000
Wakuu habari,

Yeyote anayejua naomba anifahamishe, ni wapi hivyo vyuo vilipo, gharama zake na muda wa kusoma
 
mwanamatumbi

Member
May 14, 2020
20
75
Mkuu ahsante ila muda wa maombi umeisha Jana, vipi hakuna vyuo vya private?
Hayo maombi yaliyoisha Jana ilikuiwa ni Ile special program ya Waziri Mkuu.
Njuavyo Mimi huwa wanatoa short courses. Ndio maana nakwambia tafuta contact zao uwapigie. Au Kama upo dar nenda pale physical.
 
LUCKDUBE

JF-Expert Member
Dec 30, 2016
2,171
2,000
Hayo maombi yaliyoisha Jana ilikuiwa ni Ile special program ya Waziri Mkuu.
Njuavyo Mimi huwa wanatoa short courses. Ndio maana nakwambia tafuta contact zao uwapigie. Au Kama upo dar nenda pale physical.
Powa powa mkuu
 
Its Pancho

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
7,655
2,000
kama utajisomesha sawa ila kama ni program ya waziri maombi yamekwisha jana
inategemea uko mkoa gani kama ni dar nenda veta kama ni Dodoma ni don bosco na veta chang'ombe pia
 
Tangantika

JF-Expert Member
Aug 12, 2018
2,480
2,000
Simu,computer,radio. Vyote ni physics.
Soma physics hutasumbuka na kuchomeka kwa kubahatisha bahatisha.
Soma basics ekectronics i.e
. Digital
. Analogue.
na Electromagnetism kidogo

Usipende shortcut.

Kasome electronics Au physis bahati mbaya hakunaga short kozi za hio sayansi. Then ndio uende huko mtaani kwa kina fundi sudi
Zipo online course ika bei yake mbaya bora ujitupe college miaka 2.
Ingoa you tube mtafute jamaa mmoja abaitwa Dr. ben labaratory, uta ambulua ambulia jinsi ya kucheza na hizo devices.
Nakushauri ujifunze hio sayansi kabla ya mautundu.
 
Mkuu nimesoma physics o level na advance, zote milifaulu,
Electronics nilisoma
Modern physics nilisoma
Electromagnetism nilisoma

Ni vi alama michoro na mahesabu ya kufa mtu, lakini ukija kwenye practical unashindwa kuelewa vinafanyaje kazi, nimeenda huko kwa akina fundi sudi wakaanza kunielekeza nikaona sielewi sababu ili uelewe tatizo liko wapi ni lazima uelewe kwanza mfumo mzima
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom