Chuo gani kinatoa MA ya Special Needs Education?

D___________Loy

Senior Member
Jan 21, 2020
148
118
Habari wanajukwa,

Nina ndugu yangu ambaye anahitaji kusoma Shahada ya Umahiri (Masters) katika fani ya Elimu Maalum (MA Special Education Needs).

Je, ni chuo gani hapa Tanzania kinatoa fani hii?
 
Habari wanajukwa,

Nina ndugu yangu ambaye anahitaji kusoma Shahada ya Umahiri (Masters) katika fani ya Elimu Maalum (MA Special Education Needs).

Je, ni chuo gani hapa Tanzania kinatoa fani hii?
Kwa Tanzania kiliwepo chuo cha SEKOMU,
Kilipofungwa hicho kwa sasa hakuna kingine.

Aende Kyambogo University - Uganda,
au vyuo vingine vya nje.

Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom