6By6 Miguno
Member
- Apr 20, 2025
- 75
- 107
Mfano mdogo ni hawa watu humu ambao kila kukicha wanaunga mkono serikali hii yenye makandokando, Serikali hii waiungayo mkono imeifungia JF, Lakini wao wanatumia VPN kuendelea kubangaiza humu....
Sasa unajiuliza huyu mtu gani ambae anashindwa kuitii hata serikali anayoiunga mkono!!? Mtandao umefungiwa na serikali yako pendwa lakini unadownload VPN unautumia, Je unamaanisha nini? Je, hata wewe mwenyewe unakubali kuwa serikali yako imekukatili???
Kama sivyo tukuelewe vipi sasa? Je upo timamu kweli wewe!!? Nilitegemea kwa muda huu tuwepo sisi pekee mnaotuita waasi.... Basi kweli Changamoto ya Afya ya akili ni janga sana nchini.