Gagurito
JF-Expert Member
- Feb 11, 2011
- 5,600
- 804
Najua ni kweli kuwa kwa % nyingi mwanamke ameumbwa kimatamanio mbele ya macho ya wanaume hivyo kutongozwa ni lazima bt kwa leo Napenda kujua kama ni jambo la busara kwa wanawake/mpenzi/mke kumwambia mwenza/mpenzi/mchumba wake wa kiume pindi watongozwapo na wanaume wengine. Na utajisikiaje/utachukua hatua gani pindi mpenzi wako atakapo kujulisha juu ya kutongozwa kwake? (kwa wanaume).
Nisaidieni kwa kulijadili hili, binafsi haijawahi kunitokea bt nimekua nikisikia toka kwa friends zangu juu ya hili.
Nisaidieni kwa kulijadili hili, binafsi haijawahi kunitokea bt nimekua nikisikia toka kwa friends zangu juu ya hili.