Je, Ni bao la mkono au ni typing and tallying errors?

Je, Ni bao la mkono au ni typing and tallying errors?

Unajua si kila wakati ni wakuonyesha ushabiki.wakati mwingine tumia akili sawasawa.

Tunajadili makosa ya majumuisho ya Nec anachojua tuu mipasho na ushabiki. Hili ni tatizo na wengi wapo hivi mkuu
 
Mwaka huu ccm watajuta hakika
Kwanza heshima kubwa kwa technology na pia uelewa Mkubwa Wa watanzania Wa kuhoji mambo ,hakuna namna ccm mtadanganya
 
Elimu bure ingewaponza ninyi.....
Hesabu ya std 3 inawapiga chenga loh.

Kuna kura zilizo haribika hapo mmeziweka?
Au ushabiki?

Aisee hesabu zinakupiga chenga sana, halafu mnaendelea kubaka demokrasia ili ccm iendelee kusomesha watoto wenu ujinga huko mashuleni pole sana
 
Kwa hizi dosari za ujumlishaji wa matokeo ya kura za urais hakuna uhalali wa kumtangaza mshindi wa kiti cha urais hadi zifanyiwe kazi ila kwa kuwa tupo chini ya utawala wa kidikteta nec wataendeleza ujinga wa kutusomea matokeo yenye dosari na mwisho kutuletea rais ambaye hakuchaguliwa na watanzania wengi, tuzingatie pia kura za mahindi na nyinginezo ambazo zimekuwa zikikamatwa na wananchi. Sasa naelewa kwanini kwenye baadhi ya nchi za kiafrika kuna watawala wasiokubalika ikulu na waasi msituni.

Mahakama, polisi, nec ni vyombo vinavyotumika kisiasa chini ya utawala mbovu na katiba mbovu mwenye kutafuta haki hana pa kukimbilia Tanzania this is unacceptable
 
Mliosoma takwimu je hizi asilimia zipo sahihi?

Asilimia zimekosewa. Hiyo 71.28% ni typo. Ilipaswa kuwa 62.34%. Cha kujiuliza ni kama hizo kura (namba) ni sahihi au la.

Spreadsheet yangu yenye asilimia sahihi hii hapa chini.


Jina
Asilimia
Mghwira
1.10%
594
Yemba
0.76%
409
Magufuli
62.34%
33,699
Lowassa
35.18%
19,017
Rungwe
0.35%
189
Kasambala
0.09%
47
Lyimo
0.09%
51
Dovutwa
0.09%
49
TOTALS
100.00%
54,055

<tbody>
[TD="width: 86"] Kura
[/TD]

</tbody>
 
Elimu bure ingewaponza ninyi.....
Hesabu ya std 3 inawapiga chenga loh.

Kuna kura zilizo haribika hapo mmeziweka?
Au ushabiki?

Kama ingekuwa suala la kura zilizoharibika basi ingekuwa 98% tungechukulia kwamba 2% ni ya kura zilizoharibika.
 
Back
Top Bottom