Darius
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 1,951
- 320
Hawawezi kurudi.
hahahahaha ....so wamekurupuka
Hawawezi kurudi.
Kura zilizo haribika hapo mmeziweka? Ni ngapi?
Mkuu hebu chukua Asilimia za Magufuli na Lowas tu jumlisha. achana na Kura za wagombea wengine pamoja na zilizoharibika.
Magufuli 71.28 %
Lowasa 35.18%
Kura zilizo haribika hapo mmeziweka? Ni ngapi?
Zenyewe zinazidi 100. ..zinakuja 106.46 kweli hawa hawana undugu na Twaweza. Maana twaweza na wenyewe ndio walituzidishia asilimia.
Mtatafuta kila sababu za kukataa kushindwa kwenu. Kama mlivyoanza kwa kusema mtalinda kura, sasa mmeshahamia kwenye TV Station na computation ya %age. Tafuteni sababu nyingine tena na tena na tena na tena. Ila dawa ni Kukubali ukweli ili mjipange kwa 2020 (Wazungu wanasema "Twenty Twenty"). Sasa sijui Chadema itakuwa bado hai mpaka wakati huo????

Wameumbuka vibaya sana sana aiseee tallying gani ya kishenzi vile....