Uchaguzi 2020 Je, NEC imeokoa kiasi gani cha fedha baada ya baadhi ya wagombea ubunge na udiwani kupitishwa bila kupinga?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,976
Inaeleweka wazi kwamba Tume ya uchaguzi imepewa fedha za kutosheleza uchaguzi kwa majimbo yote na kata zote Tanzania bara na visiwani.

Ni vema walipa kodi wakajulishwa kiasi cha fedha kilichookolewa baada ya baadhi ya wagombea kukosa sifa na hivyo majimbo yao kutoingia katika Uchaguzi.

Nawatakia Sabato yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
 
Kiasi gani cha fedha au ni uvunjifu wa katiba na ujenzi wa chuki kwenye taifa ? Acha upuuzi wa kiasi gani kimeokolewa, si tulisaini demokrasia wenyewe ? Ina maana leo ndiyo tumejua tunatumia gharama kubwa ? Stupid
 
Back
Top Bottom