Je ndoa ya serikali inatambulika Kimungu

Je ndoa ya serikali inatambulika Kimungu

Kikristo, mwanaume akilala na mwanamke wameunganishwa kwenye ndoa (Ambayo si takatifu) since Mungu hakushirikishwa. Consummation of marriage is the real marriage kwa sababu hata mkila viapo kanisani consummation isipotokea hiyo si ndoa.

Sasa basi kwa sababu Mungu alisema tiini mamlaka. Ndoa ikifungwa serikalini ni ndoa halali (japo si takatifu since Mungu hakushirikishwa). Hata kama viongozi wa dini hawajaikubali.
Kama unamwogopa Mungu ni ndoa. Kama unawaogopa viongozi wa dini (honestly sijui huwa wanaichukuliaje), ila aliyeshiba neno anajua ni ndoa. Vigezo na masharti ya ndoa za kikristo kuzingatiwa! Yani kama ya kanisani vile.

mkuu naomba kwa maelezo yako nikuulize maswali mawili,umesema inakua sio takatifu,kwa nini sio takatifu?pili Mungu unamshirikishaje unapotaka kuoa? Maswali mengine yatatokana na majibu yako.
 
Natumai mtakuwa mpo na afya tele wanammu.

Swali langu nitakalo kuuliza ni je ndoa ya serikali inatambulika kimungu hasa kwenye ukristo?

Na je kama wanandoa waliofunga ndoa ya serikali halafu ni wakristo wakiachana inaruhusiwa kuoa au kuolewa tena,

asanteni

swali la kwanza je Mungu anatambuwa serikali?
 
swali
la kwanza je Mungu anatambuwa serikali?

anatambua ndio maana baadhi ya vitabu amesema mamlaka zilizoko duniani
ziheshimiwe ingawa kwa baadhi ya watu bado suala la uwepo wake yeye mungu ni compex hadi
sasa.
 
Nimeeleza kwa muktadha wa kikoloni kwani dini ya kiristo ililetwa na wazungu na hadi leo majority ya wazungu ni waktristo

Kwa hiyo unataka kumaanisha nini hapa? Ukristo ni dini ya kikoloni, ukristo ni dini ya kizungu kwahiyo Wakoloni wote walikuwa wazungu, Wakristo wote ni wazungu,
 
Kwa hiyo unataka kumaanisha nini hapa? Ukristo ni dini ya kikoloni, ukristo ni dini ya kizungu kwahiyo Wakoloni wote walikuwa wazungu, Wakristo wote ni wazungu,

Hujaelewa nini wewe kwani ukristo haukuletwa na ukoloni? Na hujui kuwa majority ya wazungu ni wakristo hilo nalo hadi ukafundishwe we kilaza! Vivyo hivyo uislam uliltwa na wakoloni Waarabu. Unahitaji ule samaki wabichi (waliopikwa) kwa wingi ili uongeze uwezo wa akili yako kufanya kazi.
 
mkuu naomba kwa maelezo yako nikuulize maswali mawili,umesema inakua sio takatifu,kwa nini sio takatifu?pili Mungu unamshirikishaje unapotaka kuoa? Maswali mengine yatatokana na majibu yako.

Ndoa kikristo ni muunganiko wa mke na mume kuwa mwili mmoja (through consummation/ sleeping together), ambao umebarikiwa na Mungu(mmeomba/ombewa kabla hamjashiriki), mkiwa na matarajio ya kuwa pamoja hadi kifo kiwatenganishe na bila mmoja wenu kuasi. Hayo matarajio si lazima muyaseme ila kila mtu kichwani anatakiwa ajue once we do it ndo tumeshakuwa pamoja milele. Hiyo ni ndoa takatifu.
Mkilala then kila mtu akaenda zake(one night stand) hiyo ni ndoa iliyovunjwa ila ni ndoa nonetheless.
Mkikiuka hata kimoja then siyo takatifu. Mungu anashirikishwa kwa sababu mlimuomba kabla.
 
Back
Top Bottom