Je ndoa ya serikali inatambulika Kimungu

Nauliza tuu... hivi wazee wa zamani kuanzia Adam na Eve, Noah na Mkewe, Abraham na Sara na wengineo... walifungishwa na nani??
 
Mungu alisema kuwa mwanamke na mwanaume wataishi pamoja hakusema waoane kanisan au msikitin, je ikiwa wamependana watu wa dini tofaut itakuwaje? cha msingi ni mapenz ya watu wawili na wazazi wa pande zote 2 wakubaliane
note:kazi ya mch/padre/sheikh si kufungisha ndoa bali ni kuthibitisha agano la watu wawili, kwa sisi wakristo tunasema," mimi..ninakubali kumuoa/olewa na..hata kifo kitakapotutenganisha." Kama sipo sawa prove me wrong

kweli kabsa
 
Kikristo, mwanaume akilala na mwanamke wameunganishwa kwenye ndoa (Ambayo si takatifu) since Mungu hakushirikishwa. Consummation of marriage is the real marriage kwa sababu hata mkila viapo kanisani consummation isipotokea hiyo si ndoa.

Sasa basi kwa sababu Mungu alisema tiini mamlaka. Ndoa ikifungwa serikalini ni ndoa halali (japo si takatifu since Mungu hakushirikishwa). Hata kama viongozi wa dini hawajaikubali.
Kama unamwogopa Mungu ni ndoa. Kama unawaogopa viongozi wa dini (honestly sijui huwa wanaichukuliaje), ila aliyeshiba neno anajua ni ndoa. Vigezo na masharti ya ndoa za kikristo kuzingatiwa! Yani kama ya kanisani vile.

kwa hiyo ndoa ya bomani si takatifu?
 
Kwani serikali inaamini Mungu? maana haina dini isipokuwa watu wake ndo wanadini

mbona nyimbo ya taifa inasema mungu ibariki tanzania,wabariki viongozi wake?
 
Ya serikali kuachana ni rahisi kutoa talaka ila inatambulika hadi kanisani ila ya kanisani kuachana kwa talaka sahau alicho unganisha Mungu binadamu hawezi kutenganisha.Hapo wakristo tunaonewa kinoma.
 
ndoa zote ni halali kwa mungu
iwe ya kimasai au ya bomani
 
Kikristo, mwanaume akilala na mwanamke wameunganishwa kwenye ndoa (Ambayo si takatifu) since Mungu hakushirikishwa. Consummation of marriage is the real marriage kwa sababu hata mkila viapo kanisani consummation isipotokea hiyo si ndoa.

Sasa basi kwa sababu Mungu alisema tiini mamlaka. Ndoa ikifungwa serikalini ni ndoa halali (japo si takatifu since Mungu hakushirikishwa). Hata kama viongozi wa dini hawajaikubali.
Kama unamwogopa Mungu ni ndoa. Kama unawaogopa viongozi wa dini (honestly sijui huwa wanaichukuliaje), ila aliyeshiba neno anajua ni ndoa. Vigezo na masharti ya ndoa za kikristo kuzingatiwa! Yani kama ya kanisani vile.

For that concept ....was just thinking how many ndoaz do I av ambazo sio takatifu uwiii
 
Acha kutukuza wazungu kijana inamaana mababu zetu waliofunga ndoa kipindi hicho walikuwa hawabarikiwi na Mungu? Ziangalie dini hizo za kigeni machimbuko yake na kila kitu, Je Wahindu, Budha, Banian kwa mtazamo wako ndoa zao ni batili?
 
Katika ukristu kuna mambo ambayo tunaambiwa ni fumbo. Mojawapo tuna elekeza kwenye sakramenti. Mafumbo yametajwa ili kufanya yaaminiwe zaidi kuliko kuchambuliwa kwa akili ZA kibinadamu. Hivyo amini tu.so wengi tumemezeshwa tu baadhi ya mambo bila kuyatafakari sana. Kibiblia ndoa ni unganiko la mume na mke kutimiza agizo la Mungu full stop. Iwe imefungwa popote ni ndoa halali. Kanisa ni taasisi iliyoweka taratibu ili kufanikisha kazi zake. Hivyo hata taratibu hizi ZA ndoa ni kwa manufaa ya kanisa zaidi SI mungu.
 
Nauliza tuu... hivi wazee wa zamani kuanzia Adam na Eve, Noah na Mkewe, Abraham na Sara na wengineo... walifungishwa na nani??

wao ilikuwa mwanaume akikuchukua akakuweka kwenye hema lake we tayari ushakuwa mke wake..
Btw mbwembwe za siku hizi hazikuwepo enzi hizo..
 
^^
Kuna njia za kuhalalisha mahusiano ya mapenzi kuwa ndoa, kwa njia nyingi,
1. Kupitia dini
2. Kupitia serikali
3. Kimila
Huo ni uhalali, hoja ya kuwa inakubalika kwa Mungu ni suala la imani zaidi, maana wapo ambao hawakuwahi kupitia njia zote hizo na wanaamini wamebarikiwa, kuinuliwa, na kila chemichemi ya furaha ya ndoa wametunukiwa.
^^
 
ndoa zote ni halali bila kujali ni church ,msikitin whatever
 
comment nyingi hapa zinaonyesha watu wengi sana wamefunga ndoa za serikali
 
hakuna sehem yoyote mungu aliyosema watu waoane na eti misachane hadi kufa zaid ya kusisitia kuishi pamoja na mkishindwana mwanaume umrudishe mwanamke kwao!!! ni fabrication tu za dini kuongelea kitu kinachoitwa ndoa cjui wamekitoa wapi ila kwa wakristo kimechangiwa zaid na fabrication na lies za agano jipya!!!
 
For that concept ....was just thinking how many ndoaz do I av ambazo sio takatifu uwiii

Watu mpaka tunafungishwa ndoa , unofficial tunakuwa nazo kibao. Inabidi kuzivunja zote ndo ufunge nyingine
 
Acha kutukuza wazungu kijana inamaana mababu zetu waliofunga ndoa kipindi hicho walikuwa hawabarikiwi na Mungu? Ziangalie dini hizo za kigeni machimbuko yake na kila kitu, Je Wahindu, Budha, Banian kwa mtazamo wako ndoa zao ni batili?

Hapa tunazungumzia ukristo mkuu
 
Back
Top Bottom