Je, Ndoa ya kikristo yaweza kuvunjika?

Je, Ndoa ya kikristo yaweza kuvunjika?

Kanisa lipi linavunja ndoa ya mgumba?

But nachosema sheria nying zilizotungwa na makanisa ni za kwao.saiv makanisa yameanza kuhalalisha ndoa za jinsia moja na kabla karne haijaisha 90% yatakubal.
Follow the bible.
 
Ukimuoa mwanamke then ukamkuta mgumba na hukulijua hilo before thn talaka inaridhiwa na kanisa katolic.
But nachosema sheria nying zilizotungwa na makanisa ni za kwao.saiv makanisa yameanza kuhalalisha ndoa za jinsia moja na kabla karne haijaisha 90% yatakubal.
Follow the bible.
Mkuu napingana nawe kuhusu uvunjwaji wa ndoa wa kanisa Katoliki. Sababu za pekee ni endapo mmeoana ndugu au mume ni hanithi kabla hata ya ndoa na endapo uhanithi huo umempata mume baada ya ndoa yaani mliwahi kushiriki tendo la ndoa basi ndoa hiyo haibatilishwi.
 
MIE SIO MTAALAMU SANA WA MASUALA HAYA YA NDOA ILA NAOMBA KUHOJI KWA ALIYESOMA BIBLIA VIZURI...NI WAPI KWENYE BIBLIA IMEANDIKWA WANANDOA WADUMU KWENYE NDOA MPAKA KIFO KIWATENGANISHE?

KINGINE NISICHOELEWA....KWANINI UKIFUNGA NDOA UNATIA SAINI VYETI VYA NDOA VYA SERIKALI?...JE NDOA SIO MKATABA KATI YA WAWILI WALIOPENDANA UNAOSAINIWA MBELE YA MASHAHIDI AKIWAMO MCHUNGAJI/PADRE/SHEIKH AU VIONGOZI WENGINEO WA DINI?

KAMA NDOA NI MKATABA KWANINI HUO MKATABA USIVUNJIKE?...KWA MUJIBU WA SHERIA ZA NCHI MKATABA HUO ULIPOTIWA SAINI?..LAWS OF THE LAND/CONTRY.

NAOMBA KUJUZWA....MAANA NINAO USHAHIDI WA WATU WALIOVUNJA MIKATABA YAO YA NDOA TENA NDOA TATA ZA KIKATOLIKI...MUPO HAPO?
 
Mkuu napingana nawe kuhusu uvunjwaji wa ndoa wa kanisa Katoliki. Sababu za pekee ni endapo mmeoana ndugu au mume ni hanithi kabla hata ya ndoa na endapo uhanithi huo umempata mume baada ya ndoa yaani mliwahi kushiriki tendo la ndoa basi ndoa hiyo haibatilishwi.
Umesema sababu za pekee but umetaja moja.jaribu kuziangalia hizo zingine mkuu.
 
Vitu vingine hamtakiwi kubishania ,hujui kama kuna sheria na taratibu ndio mana wanawaisrael walikua na torati?kinachokushangaza ndoa kufungwa kwa kuhani ninini?kilakitu kingeandikwa humo biblia ingebebeka?sasa mwenye ufaham na afahamu ndoa zote ni za serikali hata ya mila inakubali ilimradi ifungwe mapema kabla ya saa 12 jioni bendera kushuka,ndio mana kanisa linawapa cheti kimoja ila vya serikali viwili ikiwa na maana kua kila mmoja na chakwake.
Hivyo binti kutaka kuvunja ndoa kwajili ya mtu mwingine ni uzembe hebu jaribu kumwambia mumeo asolve vimeo vya kwao na usolve vya kwenu.

Sijaona ukisema uhusiano wako na yeye kitu ambachotunakijali sana,ndio maana na kwambia sema situation ilivyo hunahaja ya kutaja majina kama unahisi mumeo yupo chagua mtu unamuamini nenda inbox
Umefatilia ndoa ya mariam na yusuph.ukishamposa mwanamke mbele ya mashahid wa pande zote mbili ndoa imetambulika mbinguni.
Makanisa yanawadanganya watu kwamba ndoa ambayo haijapita kanisan si ndoa bali ni uchumba sugu.
Ndoa ni makubaliano kati ya mwanadam na mungu wake.
Si lazima awepo kuhan.
 
ndoa ya waumini waki kristo mana padr haoi ndoa yaweza kuvunjika 2
 
Zipo sababu nyingi tu zinazoweza kusababisha ndoa kuvunjika cha msingi ni kwa wewe kumuona kiongozi wako wa kiroho atakupa ushauri mzuri zaidi.
 
Ukimuoa mwanamke then ukamkuta mgumba na hukulijua hilo before thn talaka inaridhiwa na kanisa katolic.
But nachosema sheria nying zilizotungwa na makanisa ni za kwao.saiv makanisa yameanza kuhalalisha ndoa za jinsia moja na kabla karne haijaisha 90% yatakubal.
Follow the bible.
Unajua maana ya ugumba?siku nyingine usijibu kitu usichokijua
 
Kinachoweza kuvunja ndoa ya kikristo ni impotence na kifo,,,hapo kwny impotence kuna kitu kinaitwa fraudulent misrepresentation kwa maana kwamba ulikuwa unajua kuwa ww ni impotent ila ukamlaghai uyo mwenzio kuingia kwny ndoa,otherwise hzo zngne ni blah blah tu paroko hawezi kuziskiliza


Huwa wanasema ndoa ilikuwa batili.......kuna jamaa mmoja mkewe alimwekea sumu kwenye chakula h.girl akatoboa siri wakati mzee amerudi anataka kuanza kula chakula kilipelekwa maabara na kugundulika sumu shauri lao lilikwenda hadi kanisani lakini ndoa haikuvunjwa mwanaume akaammua kuondoka anaendelea na maisha yake hayaoa hadi leo
 
Ukimuoa mwanamke then ukamkuta mgumba na hukulijua hilo before thn talaka inaridhiwa na kanisa katolic.
But nachosema sheria nying zilizotungwa na makanisa ni za kwao.saiv makanisa yameanza kuhalalisha ndoa za jinsia moja na kabla karne haijaisha 90% yatakubal.
Follow the bible.


Acha upotoshaji wewe kanisa katoliki linavunja ndoa wenye tatizo la ugumba?
 
Umesema sababu za pekee but umetaja moja.jaribu kuziangalia hizo zingine mkuu.
Mkuu hukusoma vizuri bandiko langu. Nimeeleza ndoa baina ya ndugu wa damu au endapo mwanaume hana uwezo wa kufanya tendo la ndoa na tatizo hilo alikuwa nalo kabla hamjaingia kwenye ndoa.
 
Acha upotoshaji wewe kanisa katoliki linavunja ndoa wenye tatizo la ugumba?
Offcourse kama ugumba huo haukujulikana at the time of marriage ndoa hiyo ni void.basis ya ndoa ni kuzaa na kuongezeka zipo sababu nying sana.
 
Hv mnajua kuwa wanawake duniani n wengi kulko wanaume? Na kwann manabii wengi walioa zaid ya mke moja?
 
Nakubaliana na anayesema ndoa ya kikristu haivunjiki bali inabatilishwa tu. Na sababu za kuibatilisha ni endapo mume ni hanithi kabla na si baada ya ndoa na alificha siri hiyo. Sababu nyingine ni uasherati na sio uzinzi. Hapa uasherati inamaanisha zinaa baina ya ndugu wa damu. So kama ikibainika kwamba ulioa ndugu wa damu ndoa hiyo inabatilishwa kwa kuwa haikuwa na kibali tangu awali. Tulipoambiwa tusamehe saba mara sabini hakukuwa na conditions katika kutoa misamaha hiyo hii ikiwa na maana hata makosa ya uzinifu yanapaswa kusamehewa pia. Ndio maana inabidi kumshirikisha sana Mungu kama ya kupata mchumba kuliko kutumia akili na nguvu ya macho.
Tupe andiko ktk bible linalosema ndoa haivunjiki bali inabaditilika
 
Vitu vingine hamtakiwi kubishania ,hujui kama kuna sheria na taratibu ndio mana wanawaisrael walikua na torati?kinachokushangaza ndoa kufungwa kwa kuhani ninini?kilakitu kingeandikwa humo biblia ingebebeka?sasa mwenye ufaham na afahamu ndoa zote ni za serikali hata ya mila inakubali ilimradi ifungwe mapema kabla ya saa 12 jioni bendera kushuka,ndio mana kanisa linawapa cheti kimoja ila vya serikali viwili ikiwa na maana kua kila mmoja na chakwake.
Hivyo binti kutaka kuvunja ndoa kwajili ya mtu mwingine ni uzembe hebu jaribu kumwambia mumeo asolve vimeo vya kwao na usolve vya kwenu.

Sijaona ukisema uhusiano wako na yeye kitu ambachotunakijali sana,ndio maana na kwambia sema situation ilivyo hunahaja ya kutaja majina kama unahisi mumeo yupo chagua mtu unamuamini nenda inbox
Hata kuvunjika kwa ndoa ktk ukrsto inarusiwa sema inawezekana usiione kwenye bible kwasababu kila ktu kingeandikwa kwenye bibilia. Bibilia isingebebeka
 
Hata kuvunjika kwa ndoa ktk ukrsto inarusiwa sema inawezekana usiione kwenye bible kwasababu kila ktu kingeandikwa kwenye bibilia. Bibilia isingebebeka
Sisi tunafanyia kazi muongozo wa kitabu chetu cha dini usilazimishe mambo kama hujui lipi la kuandikwa na lipi la kufuata kutokana na taratibu za maisha ya watu,natumaini kwa waislam pia kuna madhehebu tena mengine hayaelewani kabisa,nasisistiza kama hujui kitu cha watu nyamaza na uheshim imani za wengine
 
Offcourse kama ugumba huo haukujulikana at the time of marriage ndoa hiyo ni void.basis ya ndoa ni kuzaa na kuongezeka zipo sababu nying sana.


Nakuhakikishia hakuna kitu kama hicho labda sio kanisa katoliki ninalolifahamu
 
Back
Top Bottom