Je, Ndoa ya kikristo yaweza kuvunjika?

Je, Ndoa ya kikristo yaweza kuvunjika?

Kinachoweza kuvunja ndoa ya kikristo ni impotence na kifo,,,hapo kwny impotence kuna kitu kinaitwa fraudulent misrepresentation kwa maana kwamba ulikuwa unajua kuwa ww ni impotent ila ukamlaghai uyo mwenzio kuingia kwny ndoa,otherwise hzo zngne ni blah blah tu paroko hawezi kuziskiliza
 
Halafu msamiati unaotumiwa hapo ni "kubatilisha" na siyo kuvunja,kwa maana ya kwmb hyo ndoa haikuwa na uhalali tangu awali kwa maana nyngne ni kwmb hyo ndoa ni batili
 
Inavunjik kwa uasherati, soma Warumi utapata majibu zaid
 
TALAKA KATIKA UKRISTO

Katika kitabu cha Mathayo Yesu aliulizwa juu ya talaka aksema Mussa aliruhusu kwasababu ya ugumu wa mioyo yenu na alitoa ruksa kwa sababu ya uzinzi na kuikana imani. ..ingawa msamaha ni msistizo kwa mkristo.

(Mst. 6-8) – Hakuna talaka katika ukristo. Mwanadamu YEYOTE iwe ni Mchungaji, Askofu, Jaji wa Mahakama Kuu ya Rufaa au yoyote hana ruhusa kumtenganisha mtu na mkewe, na cheti chochote cha talaka ni batili, hakitambuliwi na Mungu. Mungu alichukuliana na watu wa Agano la Kale kwa ugumu wa mioyo yao, lakini hachukuliani na yeyote katika Agano Jipya kwa suala la talaka. Hata kama mke ameachwa kwa talaka potea, hana ruhusa kuolewa na mwingine (1 WAKORINTHO 7:10-11).
KUMWACHA MKE KWA SABABU YA UASHERATI (Mst. 9) – Hiki ni kisingizio cha watu wengi wasio na maarifa kuwaacha wake zao. Nyakati za Biblia mtu alipotoa posa kwa mchumba wake, hata kabla hawajaoana, waliitwa mtu na mkewe (KUMBUKUMBU 22:23-24; MATHAYO 1:18-20). Katika uchumba, kama mke huyo alithibitishwa kuwa amefanya uasherati kwa kuwa na mimba au vinginevyo ilikuwa ni halali kumwacha maana ni dhahiri kwamba siyo mwaminifu. Ni kwa sababu hiyo Yusufu alitaka kumwacha Mariamu kwa kudhani alifanya uasherati. Vivyo hivyo, katika Kanisa, watu ambao bado ni wachumba, hata kama posa imekwisha kutolewa; mmojawapo anapothibitika kuwa amefanya uasherati, huyo mwenzake ana ruhusa ya kumwacha kwa sababu inadhihirisha kwamba hajaokoka. Lakini mtu na mkewe wakiisha kuoana, uzinzi siyo sababu ya kuwaruhusu kuachana. Mume anapaswa kumsamehe mkewe mara saba mara sabini makosa YOTE kama Mungu katika Kristo alivyotusamehe sisi. Je, tulisamehewa dhambi zote kasoro uzinzi? Jibu ni la! Basi uzinzi siyo kisingizio cha kumwacha mke (WAEFESO 4:32).
Mathayo 19
Na swali moja tu... ukimkuta mwenzi wako na mtu mwingine kitanda utamsamehe?
 
Pole mwaya.

Mawifi na wakwe sio sababu ya kanisa kuvunja ndoa.

Ila ndoa zetu za kiafrica hizi....unaolewa na mmoja ila watakuja milioni moja....sasa ukute mwanaume akili zake kazikalia utaisoma namba
 
TALAKA KATIKA UKRISTO

Katika kitabu cha Mathayo Yesu aliulizwa juu ya talaka aksema Mussa aliruhusu kwasababu ya ugumu wa mioyo yenu na alitoa ruksa kwa sababu ya uzinzi na kuikana imani. ..ingawa msamaha ni msistizo kwa mkristo.

(Mst. 6-8) – Hakuna talaka katika ukristo. Mwanadamu YEYOTE iwe ni Mchungaji, Askofu, Jaji wa Mahakama Kuu ya Rufaa au yoyote hana ruhusa kumtenganisha mtu na mkewe, na cheti chochote cha talaka ni batili, hakitambuliwi na Mungu. Mungu alichukuliana na watu wa Agano la Kale kwa ugumu wa mioyo yao, lakini hachukuliani na yeyote katika Agano Jipya kwa suala la talaka. Hata kama mke ameachwa kwa talaka potea, hana ruhusa kuolewa na mwingine (1 WAKORINTHO 7:10-11).
KUMWACHA MKE KWA SABABU YA UASHERATI (Mst. 9) – Hiki ni kisingizio cha watu wengi wasio na maarifa kuwaacha wake zao. Nyakati za Biblia mtu alipotoa posa kwa mchumba wake, hata kabla hawajaoana, waliitwa mtu na mkewe (KUMBUKUMBU 22:23-24; MATHAYO 1:18-20). Katika uchumba, kama mke huyo alithibitishwa kuwa amefanya uasherati kwa kuwa na mimba au vinginevyo ilikuwa ni halali kumwacha maana ni dhahiri kwamba siyo mwaminifu. Ni kwa sababu hiyo Yusufu alitaka kumwacha Mariamu kwa kudhani alifanya uasherati. Vivyo hivyo, katika Kanisa, watu ambao bado ni wachumba, hata kama posa imekwisha kutolewa; mmojawapo anapothibitika kuwa amefanya uasherati, huyo mwenzake ana ruhusa ya kumwacha kwa sababu inadhihirisha kwamba hajaokoka. Lakini mtu na mkewe wakiisha kuoana, uzinzi siyo sababu ya kuwaruhusu kuachana. Mume anapaswa kumsamehe mkewe mara saba mara sabini makosa YOTE kama Mungu katika Kristo alivyotusamehe sisi. Je, tulisamehewa dhambi zote kasoro uzinzi? Jibu ni la! Basi uzinzi siyo kisingizio cha kumwacha mke (WAEFESO 4:32).
Mathayo 19
Naomba unitajie mstari unaogiza kwamba ndoa lazima ifungwe kanisan au mbele ya kuhan ili nami nielewe.
Kama ukiisoma marko utaona kwamba kuna exceptional imetolewa.
Kutokana na natatizo ya wabandoa kuachana wanadam wenye mamlaka ya kutunga sheria za kidin wamekataza uzinz kuvunja ndoa but mungu amelisema hilo in a plain text.
Believe me hakuna kilichokubaliwa agano la kale kikakatazwa agano jipya jaribu kuthink kwamba wenye mioyo migumu n kina nan na je leo hii hawapo.sio kila kilicho kwenye bible ni sheria mengine ni ushaur tu wa mungu kwa wanadam.
Mungu hapend talaka lakin kwa sababu ya uzinz ameruhusu hilo na mtu yeyote atakae muoa yule mzinz aliyeachwa azin.
Hii ndio interpretation iliyo plain but imekataliwa na kanisa.
Cha ajabu ukioa mgumba wanavunja hyo ndoa but uzinz no kipi kinamaanisha upendo hapo kati ya kumuacha mgumba or kumuacha mzinz.
Usifatishe kanisa fatisha bible the way yu interpret it.
 
Nakubaliana na anayesema ndoa ya kikristu haivunjiki bali inabatilishwa tu. Na sababu za kuibatilisha ni endapo mume ni hanithi kabla na si baada ya ndoa na alificha siri hiyo. Sababu nyingine ni uasherati na sio uzinzi. Hapa uasherati inamaanisha zinaa baina ya ndugu wa damu. So kama ikibainika kwamba ulioa ndugu wa damu ndoa hiyo inabatilishwa kwa kuwa haikuwa na kibali tangu awali. Tulipoambiwa tusamehe saba mara sabini hakukuwa na conditions katika kutoa misamaha hiyo hii ikiwa na maana hata makosa ya uzinifu yanapaswa kusamehewa pia. Ndio maana inabidi kumshirikisha sana Mungu kama ya kupata mchumba kuliko kutumia akili na nguvu ya macho.
 
Wakwe na mawifi hawavunji ndoa ya kikiristo.Ndoa ya Kikristo inavunjwa na vitu viwili tu,Kifo na Zinaa.Tofauti na hapo hakuna tena.Mnaweza mkaachana, hata Padre au mchungaji wakakubaliana na nyie lakini Biblia inasema yeyote atakaye muoa huyo mwanamke atakuwa anazini.
Je? Vipi kuhusu atakayeolewa na huyo mwanaume?
 
Unajua Matwin unakosea hata kama kweli unauchungu sisi tunakushaurije na hatujui kisa?unapoambiwa ndoa haivunjiki ila kuna sababu inategemea inawezekana wewe ndio tatizo,tutakusaidiaje hatujui?tuambie kisa tukujibu kikristo wenzio tulio kaa muda mrefu kama huwezi.sema hapa sema inbox
 
Naomba unitajie mstari unaogiza kwamba ndoa lazima ifungwe kanisan au mbele ya kuhan ili nami nielewe.
Kama ukiisoma marko utaona kwamba kuna exceptional imetolewa.
Kutokana na natatizo ya wabandoa kuachana wanadam wenye mamlaka ya kutunga sheria za kidin wamekataza uzinz kuvunja ndoa but mungu amelisema hilo in a plain text.
Believe me hakuna kilichokubaliwa agano la kale kikakatazwa agano jipya jaribu kuthink kwamba wenye mioyo migumu n kina nan na je leo hii hawapo.sio kila kilicho kwenye bible ni sheria mengine ni ushaur tu wa mungu kwa wanadam.
Mungu hapend talaka lakin kwa sababu ya uzinz ameruhusu hilo na mtu yeyote atakae muoa yule mzinz aliyeachwa azin.
Hii ndio interpretation iliyo plain but imekataliwa na kanisa.
Cha ajabu ukioa mgumba wanavunja hyo ndoa but uzinz no kipi kinamaanisha upendo hapo kati ya kumuacha mgumba or kumuacha mzinz.
Usifatishe kanisa fatisha bible the way yu interpret it.
Vitu vingine hamtakiwi kubishania ,hujui kama kuna sheria na taratibu ndio mana wanawaisrael walikua na torati?kinachokushangaza ndoa kufungwa kwa kuhani ninini?kilakitu kingeandikwa humo biblia ingebebeka?sasa mwenye ufaham na afahamu ndoa zote ni za serikali hata ya mila inakubali ilimradi ifungwe mapema kabla ya saa 12 jioni bendera kushuka,ndio mana kanisa linawapa cheti kimoja ila vya serikali viwili ikiwa na maana kua kila mmoja na chakwake.
Hivyo binti kutaka kuvunja ndoa kwajili ya mtu mwingine ni uzembe hebu jaribu kumwambia mumeo asolve vimeo vya kwao na usolve vya kwenu.

Sijaona ukisema uhusiano wako na yeye kitu ambachotunakijali sana,ndio maana na kwambia sema situation ilivyo hunahaja ya kutaja majina kama unahisi mumeo yupo chagua mtu unamuamini nenda inbox
 
Naomba unitajie mstari unaogiza kwamba ndoa lazima ifungwe kanisan au mbele ya kuhan ili nami nielewe.
Kama ukiisoma marko utaona kwamba kuna exceptional imetolewa.
Kutokana na natatizo ya wabandoa kuachana wanadam wenye mamlaka ya kutunga sheria za kidin wamekataza uzinz kuvunja ndoa but mungu amelisema hilo in a plain text.
Believe me hakuna kilichokubaliwa agano la kale kikakatazwa agano jipya jaribu kuthink kwamba wenye mioyo migumu n kina nan na je leo hii hawapo.sio kila kilicho kwenye bible ni sheria mengine ni ushaur tu wa mungu kwa wanadam.
Mungu hapend talaka lakin kwa sababu ya uzinz ameruhusu hilo na mtu yeyote atakae muoa yule mzinz aliyeachwa azin.
Hii ndio interpretation iliyo plain but imekataliwa na kanisa.
Cha ajabu ukioa mgumba wanavunja hyo ndoa but uzinz no kipi kinamaanisha upendo hapo kati ya kumuacha mgumba or kumuacha mzinz.
Usifatishe kanisa fatisha bible the way yu interpret it.
Kanisa lipi linavunja ndoa ya mgumba?
 
Back
Top Bottom