Sikupingi dadakoNiliwahi kuitumia na sikupata madhara, unaweza kuwa nayo kwa emergency cases lakini ni bora utumie tunda lenyewe ukilipata kiurahisi.
Niliwahi kuitumia na sikupata madhara, unaweza kuwa nayo kwa emergency cases lakini ni bora utumie tunda lenyewe ukilipata kiurahisi.
Inabidi uijulie kuitumia ukizidisha kidogo inasikika sana.napenda ndimu kwenye mlo...ila hiyo ya paketi ilinishinda from first day
nilishatest hivyo na bado iliendelea kunikereketa na tonsels mitaa ya kooniInabidi uijulie kuitumia ukizidisha kidogo inasikika sana.