Je, nchi haijamaliza kuteua?

2013

JF-Expert Member
Aug 2, 2011
11,360
6,066
Nimekua nikishangazwa na teuzi katikati ya safari hii yetu ya viwandraa.
Like kamishna Rogers siang'a, mbunge Mama Salma, etc..
bado najiuliza?

Q. Je kama nchi hatujamaliza kuteua?
Kama bado, Kwanini?
Q. Tutakamilisha uteuzi lini?

Q. Uhusiano wa matumizi ya Bajeti ya Taifa kuendana na teuzi hizi ukoje?

Q. Lini RC wa Mkoa wa Dar es salaam atatumbuliwa , manake kulingana na whistleblowers information inadhihirika kua alifoji Cheti.
Na hili in kosa kwa mujibu wa sharia za nchi?
 
Shemela nyummbani umemuuliza ?
 
Nakuomba kuwa mvumilivu kuhusu teuzi upande wa madaktari tumemaliza kwa aslimia 95 kwa sasa tumeingia kwa walimu pia kumbuka bdo swala la uwingi wa unga mtaan hasa dar tunalifanyia kazi na bdo tunafuatilia ukweli kati ya Paul v/s Bashite baada ya hapo tuje kwnye bajet ya 2017/18 kule ddma kwa hyo tuwasiliane mwezi wa 8 au wa 9
 
Q. Lini RC wa Mkoa wa Dar es salaam atatumbuliwa , manake kulingana na whistleblowers information inadhihirika kua alifoji Cheti.
Na hili in kosa kwa mujibu wa sharia za nchi?
sio kutumbuliwa tu, sema ni lini atapelekwa mahakamani ili ahukumiwe. huyu mtu ni mhalifu kama wahalifu wegine. hata kama ana mazuri aliyoyatenda, ila uhalifu wake umemchafulia na anatakiwa ahukumiwe kwa mujibu wa sheria
 
Ulikuwa wapi? Goma limebuma hili Mzee anaomba miaka iruke ili alale mbele..pumzi imekata
 
sio kutumbuliwa tu, sema ni lini atapelekwa mahakamani ili ahukumiwe. huyu mtu ni mhalifu kama wahalifu wegine. hata kama ana mazuri aliyoyatenda, ila uhalifu wake umemchafulia na anatakiwa ahukumiwe kwa mujibu wa sheria
Ajabu ni kua MTU Mkubwa aliwataka watizedi tumpe ushirikiano. Nashangaa whistleblowers wamefanya Kazi yao, siriKALI imebaki "BUTU" kwa ubashite
 
Vilaza ni wale wanafunzi wa dodoma, labda kwa kuwa walikuwa sio wasukuma, wasukuma hakuna vilaza
 
Back
Top Bottom