Je naweza kuzipa (QUALITY) ubora nyimbo za bongo?

tizo1

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
856
145
Nauliza wataalamu naweza kuzipa ubora nyimbo za bongo fleva nilizo download toka mtandao wa manase?Nyimbo nyingi zina ukubwa chini ya MB 1.Hazipig vizur.Naomben mnipe jinsi ya kuzipa ubora.
 
Nauliza wataalamu naweza kuzipa ubora nyimbo za bongo fleva nilizo download toka mtandao wa manase?Nyimbo nyingi zina ukubwa chini ya MB 1.Hazipig vizur.Naomben mnipe jinsi ya kuzipa ubora.

Mkuu, hizo nyimbo za manase Quality yake ni ya chini sana, ni kwa sababu ameweka kwa ajili ya watu wanaotumia simu..... Unaweza kudownload Internet Download mananger hapa Internet Download Manager: the fastest download accelerator Na baada ya kudownload na ku-install hiyo software download crack yake hii hapa IRaka.rar

Baada ya ku-install IDM unaweza kutembelea site hizi ili kupata nyimbo za Bongo Flava zenye Quality nzuri na ukazidownload.
Browse Media - Music
BONGO STAR LINK
Home - Bongo5.com burudani 101%

Ukishaingia kwenye hizo site changu nyimbo unazotaka kudownload, play nyimbo usika na IDM itakuletea pop up window ya kudownload wimbo usika.

Kuhusu hiyo Site ya Manase, Mkuu Sharobalo atakuwa na maelezo mengi juu yake msubirie apite hapa.
 
Nadhani mkuu umeeleza vizuri sana sana. nikiongezea hapo nitakuwa nataka ubishi tu. Nimegonga THANKS
 
Nauliza wataalamu naweza kuzipa ubora nyimbo za bongo fleva nilizo download toka mtandao wa manase?Nyimbo nyingi zina ukubwa chini ya MB 1.Hazipig vizur.Naomben mnipe jinsi ya kuzipa ubora.
QUARITY??? come on kiswahili sanifu hatukijui na kiingereza nacho ndiyo hivyo wapi tunaelekea?????
 
Back
Top Bottom