Dumelang
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 3,193
- 5,579
Jamani wa jamii Forum naombeni msaada kama naweza kuwashtaki hawa Tanesco, hapa maeneo ya Tabata umeme hauna mgao, dakika moja unawaka, dakika moja haupo kwa siku unaweza kukatika na kuwaka hata mara saba, sasa najiuliza huu ni mgao au? na kama ndivyo mbona hauna ratiba? na kama sio huwa kuna raha au tatizo gani linalopelekea washa zima washa zima? tumeunguza vifaa nya umeme vingi
anyway! nisiandike mengi nahtaji msaada wa kisheria kama naweza kuwashitaki Tanesco kwani nimeunguza Computer yangu na nnahtaji fidia ya usumbufu.
nisaidieni
anyway! nisiandike mengi nahtaji msaada wa kisheria kama naweza kuwashitaki Tanesco kwani nimeunguza Computer yangu na nnahtaji fidia ya usumbufu.
nisaidieni