kuna jamaa alikanunua collora e100 pale maeneo ya mliman city karibu na round about kwa kakobe, kuna dealers pale wengi; wakampa hako kagari ambako kalipaki gereji....ukikaangalia huwezi katamani kabisa, utakadharau...jamaa kanunua kwa laki 7 tu, injini safi, vibali viliisha, bodi la kupaka rangi kimtindo....jamaa alipo ambiwa 700k, fasta akalipia...fasta akapeleka gereji kurekebisha hili na lile kwa laki 3.......siku ya nne kikawa bomba kwa muonekano na injini safi kabisa...akaweka sokoni .....siku 3 tu palepale maeneo......mtu akafika bei alipo ambiwa kanauzwa 2m.