Mkuu, usiulize hapa....nenda vijiwe vya kuuza magari ya mikononi...unaweza bahatisha...atleast from 1.5 ...hasa vi-collora e 100, mark ii grande za zamani zile nk. Humu jf wenye gari ni kuanzia 4m na kuendelea. Kwa bei hizo za chini ya 3m mara nyingi unalenga tu....huko uraiani...zipo nakwambia japo yes..zina uchakavu...si dhani kama mtu akisema anataka kwa bei kama yako harafu akataka mpya au iliyosimama sana.
Nimechangia tu.
Gari iwe inatembea.
Iwe Dar.
Iwe aina yeyote hata beetle(VW).
Kama vibali vime -Expire no sweat.
Kama itahitaji marekebisho kidogo hamna noma.
Mnijuze ili tuweze ku takabali.
Alamsiki
Namshukuruni.
Hapo unapata pikipiki,inaitwa Batavuzi!
Gari iwe inatembea.
Iwe Dar.
Iwe aina yeyote hata beetle(VW).
Kama vibali vime -Expire no sweat.
Kama itahitaji marekebisho kidogo hamna noma.
Mnijuze ili tuweze ku takabali.
Alamsiki
Namshukuruni.
Hapo unapata pikipiki,inaitwa Batavuzi!