poposindege
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 456
- 175
wadau kama swali linavyojieleza hapo juu.
Kuna email muhimu nimeifuta kwa bahati mbaya mpaka ktk trash box nako niliifuta.
sasa naihitaji na sina namna ya kuipata kwa aliyeituma.
Msaada wenu wakuu