Pamoja na kuwa ni marafiki wa muda mrefu.
Huyu dogo alilipwa chake kikamilifu na kunyamazishwa kesi zote alizokuwa nazo.
Amekuwa kimya muda mrefu akijielewa. Subiri kuelekea uchaguzi huu uone anakoibukia. Na hata asipogombea bado anaweza teuliwa hizi teuzi za kila kukicha!
Comment ya kipumbavu ya siku ya leo saba saba...Hivi Kuna urafiki Kati ya cdm na ccm au umekula cuca nn
Kama mnalijua hilo inakuwaje mliwakataza wabunge wenu kwenda kumuona mbunge mwenzao aliyekuwepo gerezani pale kisongo mh Lema? Nyie ni sawa na nyoka tuUnadhani ni mjinga yeye kuwa haongei au kusocialize na wengine ambao sio cdm?
Comment ya kipumbavu ya siku ya leo saba saba...
Ilibaki masaa mawili tupite bila comment ya kipumbavu.
Mmawia, kukaa na mpinzani wako kupiga kinywaji laini sio mbaya bana. Mbona akina Mwamba walikuwa wanatinga sana Ikulu kupiga vinywaji na JK. Tena Lissu ndio alikuwa mkoroga chai mzuri sana wa wenzake.
Akibisha unitag Mkuu
Usha-panic 🤣Omba unyimwe pesa kuliko kunyimwa akili kama wewe
Wakiguswa sehemu mbaya ama kuulizwa hoja ngumu huwa wanapotezea ama kurukaruka kama popcornKama ulijua Mkuu jamaa kakausha kabisa
Ameshajua matokeo ya mechi huyoUsha-panic 🤣
Picha ya Zamani hiyo...!
Ila mkisumbua itabidi tufanye rasmi sasa...ha ha ha
Kukaa pamoja na mtu msiyeaminiana inawezekanaje kama sio njama, usaliti na unafiki?Kwani ni dhambi watanzania kukaa pamoja?
Halafu baada tu ya kulipia kiingilio.Ameshajua matokeo ya mechi huyo
Aliyekuwa mbunge wa Arumeru kupitia cdm, amenaswa na camera zetu akiwa na kikao cha kificho na Dc wa ccm.
Kuelekea uchaguzi wa October tuwe sana macho na wagombea wetu. View attachment 1500311
Tuwaache hao wachonganishi watapita lakini Tanzania yetu na utanzania utadumu...tupendaneKukaa pamoja na mtu msiyeaminiana inawezekanaje kama sio njama, usaliti na unafiki?
Au hujui kuwa kuna siasa za chuki zimekuwa zikijengwa muda mrefu ikiwemo kauli na video kwamba kuchagua wapinzani ni makosa na waliochagua upinzani hawastahili maendeleo ndio adhabu yao!!?
Maendeleo hayana vyama... hii ndio Tanzania tunayoitaka
Mtu wa ccm na chadema hawaruhusiwi kukaa pamoja ?Aliyekuwa mbunge wa Arumeru kupitia cdm, amenaswa na camera zetu akiwa na kikao cha kificho na Dc wa ccm.
Kuelekea uchaguzi wa October tuwe sana macho na wagombea wetu. View attachment 1500311
Hakuna mapenzi pasipo kuamimiana, hakuna upendo penye kuoneshana chuki, hakuna mahaba penye kukejeliana.Tuwaache hao wachonganishi watapita lakini Tanzania yetu na utanzania utadumu...tupendane
GlennJuzi kanda ya kaskazini (manyara) mwana lumumba kavunja "UMOJA WA WATU WA KILIMANJARO" (Umoja wa watu wa kaskazini), na amesema hataki kusikia maswala ya umoja huo.
Songwe mwezi uliopita "ADMINI MEKU" aliombwa serikali iwavutie maji kijiji na mwanamke mtu mzima, jibu aliopewa aende akamuombe "MUME WAKE, DIWANI WAKE au MBUNGE WAKE", akiashiria akaombe viongozi wa upinzani waliowachagua eneo hilo (bila ya kujua kama mama huyo ni mwana CCM au MPINZANI).
Kanda ya ziwa leo "MEKU" anasifia maswala ya umoja wao, sambamba akisifia na kutoa pongezi kwa ushindi mkubwa wa CCM.
* Kanda ya Kaskazini marufuku umoja, Kanda ya Ziwa ruhusa na pongezi kwa umoja, Kanda ya Kusini-Magharibi kaombeni misaada wapinzani mliowachagua na umoja wenu.
* Umoja wetu tanzania ndio huo kwenye "SPEECH" ni umoja madhubuti, ila kwenye uhalisia (practical) viongozi hawaoneshi umoja na wanaonesha matabaka wazi wazi na kuambatana na chuki dhahiri.
Unapovunja Umoja wa raia una "ASISI" kitu gani kama sio "DIVISION OF UNION" hata raia wasiwe na umoja wa kusaidiana, kushauriana na kuelimishana pindi mmoja wao anapopatwa na tatizo/shida. Raia wawe na matabaka ya mimi CCM nitasaidiwa, wewe MPINZANI hautasaidiwa.
#Watanzania sijui viongozi wetu wanatuona ni wapumbavu kiasi gani. Sijui mpaka lini wataacha kuchezea akili za raia wanyonge.
Mtu wa ccm na chadema hawaruhusiwi kukaa pamoja ?
Kama hiyo ndiyo siasa bora tubaki na lichama limoja tu
Eti huu nao ni Uzi halafu kwa Akil hizi na Uzushi huu usio na Tija wala Mantiki ndiyo Watu wanataka Kuitoa CCM Madarakani. Upuuzi Mtupu sana!