Je, Nassari kujiunga CCM?

Misimamo ya Mbowe isiyozingatia Mipango ya muda mrefu Kisiasa umeua ndoto za wengi ndani ya Chadema.

Kuwakataza wabunge wake na madiwani kumuunga mkono Mh. Rais ulikua umefanywa kibubusa.
 
Mbona wana Chadema inawauma sana mtu akiamua kwenda apendako?ni nani Huyo alie mjinga kuendelea kutawaliwa na akili moja tuu ya Mbowe?kumbukeni hao Viongozi na wabunge WOTE wanaotema harakati za kichadema wana fikra pana sana kuliko hyo Mbowe.Wajinga ndio wanaoburuzwa.
 
Ni kijana yupi asiependa kutumikia Taifa lake katika nyadhfa kubwa?na nafasi hyo utaipata ukiwa wapi??Nassari nenda!bado una nafasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…